M Mayolela JF-Expert Member Joined Sep 21, 2009 Posts 384 Reaction score 7 Oct 27, 2009 #41 Hivi huyu Ngasongwa ana mbadala,mbona mbovu toka siku nyingi tu-wananchi wa Mahenge tafuteni mbadala lazima yupo -ila tu asitokee Mjini atakuwa kama Ngasongwa kutwa yupo dar.Msipigie kura 2010. mdau wa Lusungo Ipinda Kyela.
Hivi huyu Ngasongwa ana mbadala,mbona mbovu toka siku nyingi tu-wananchi wa Mahenge tafuteni mbadala lazima yupo -ila tu asitokee Mjini atakuwa kama Ngasongwa kutwa yupo dar.Msipigie kura 2010. mdau wa Lusungo Ipinda Kyela.
Van Walter Senior Member Joined Jun 16, 2009 Posts 171 Reaction score 12 Oct 27, 2009 #42 ngasongwa hatufai hata kidogo..atoke tu.hafai. mwana mtimbila hapa.