Sababu ilikuwa nini?? Hahaaa!!!!Kumbe kinyonga nae ni janja janja kama yule wa huku
Hahahahuyo ndo majani bwana . alinchosha siku ile alivosema ataevujisha video ya x na mtoto ake basi nae yake itavuja akitiwa udyudyu
KabisaP. Funk kweli mtemi.. ugenini ila anakutia vibao ... hapo ameonesha tofauti kubwa sana na watanzania wa kawaida... ile tabia yetu ya kusema namwachia Mungu inatufanya wageni watuone mazuzu
Mamlaka zetu za kijingaChamilioner ujanja ni kumualika kwenye show na kumtembezea chupa za kichwa..... Aache kupenda mteremko mtoto wa kiume...... Halafu mamlaka zetu sijui kama wanampa support Majani.....
Kumbe una BMWNah...ndani ya BMW mkuu