elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Kweli tumbo na cheo havijawahi kumwacha mtu salama.
Yani mke anamsema mmewe kisa cheo, hapo hakuna ndoa bora kila mtu ale hamsini zake.
Ila huyu mwanamke hana busara najua wengi watamuumga mkono kwakuwa kafulila kahamia ccm wasiyoipenda ila bora hata angekaa kimya kuliko kumfhalilisha hivi.