elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Unajuaje,labda wamepanga hivyo ili wale kote koteNatumaini wana janvi wote wazima wa afya,nimelazimika kuandika Uzi huu baada ya kusikiliza maelezo ya mke wa Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini Bi Jesca Kishoa Kafulila!
Nimeshindwa kuleta video yake hapa kwa sababu sina utaalamu huo lakini nawaombeni mwendeni Utube msikilize maelezo yake naamini kila mtu atafurahia km nilivyofurahia mm!!
Hata hivyo tunahitaji wanawake ka Jesca Kishoa ili nchi yetu iweze kujikomboa kifkra,kimtazamo,na kimaendeleo ya jamii kwa ujumla.Asante sana Jesca Kishoa!!!
hivi huyo mke wa kafulila anajua for better for worse?Natumaini wana janvi wote wazima wa afya,nimelazimika kuandika Uzi huu baada ya kusikiliza maelezo ya mke wa Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini Bi Jesca Kishoa Kafulila!
Nimeshindwa kuleta video yake hapa kwa sababu sina utaalamu huo lakini nawaombeni mwendeni Utube msikilize maelezo yake naamini kila mtu atafurahia km nilivyofurahia mm!!
Hata hivyo tunahitaji wanawake ka Jesca Kishoa ili nchi yetu iweze kujikomboa kifkra,kimtazamo,na kimaendeleo ya jamii kwa ujumla.Asante sana Jesca Kishoa!!!
never trust a politicianNimempenda huyu dada kwa kujitambua kiasi hiki. Kama mume ni tumbili basi ni tumbili tu kamwe hastahili kuheshimiwa na mkewe. Unafanyaje maamuzi ya kuhama chama bila kumtaarifu ubavu wako na kumuacha naye asikie kwenye vyombo vya habari kama Watanzania wengine. Tumbili hamkutendea haki mkewe na hili limeingiza dosari kubwa sana kwenye ndoa yao na sitashangaa kama miezi sita ijayo hii ndoa itakuwa imevunjika.
Ametanguliza maslahi mapana ya taifa badala ya kumfuata mwanamme ambaye amesaliti watanzania na wapenda mabadiliko. CCM ilipofikia haiwezi kufanya cha zaidi. Ni sawasawa na Mugabe na ZANUPF yake.Wengi wanaoshabikia huyu mama aidha ni wavulana au hawajaoa. Mke au Mume lazima umsitiri! Siri za ndani lazima uzitunze! Unakumbuka rose kamili alijibu nini baada ya Dr Slaa kuondoka CDM! Pamoja na kuachana bado wanaheahimiana. Ni aibu na inaonyesha hajitambui kindoa
Umeoa?Ametanguliza maslahi mapana ya taifa badala ya kumfuata mwanamme ambaye amesaliti watanzania na wapenda mabadiliko. CCM ilipofikia haiwezi kufanya cha zaidi. Ni sawasawa na Mugabe na ZANUPF yake.
Wife material huyo!Mtu anamdhalilisha mumewe unasema jembe! Ningekuwa Kafulila ningeachana nae, hakuna mwanamke timamu wa kwenda kuhorojoka mbele ya vyombo vya habari kisa mumewe kuhama.
Isitoshe hata jina la Kafulila kalifuta FB yake, kabakisha Jesca Kishoa... sasa huyu ni mwanamke.gani!
Aendelee kuliwa huko aliko ili apate viti vya mababies.
Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, huwezi kumdhalilisha mumeo kwa itikadi za kisiasa , mjinga sana huyu mwanamke, tena mpumbavu sana, tofauti za kisiasa na ndoa ni vitu viwili tofautiMtu anamdhalilisha mumewe unasema jembe! Ningekuwa Kafulila ningeachana nae, hakuna mwanamke timamu wa kwenda kuhorojoka mbele ya vyombo vya habari kisa mumewe kuhama.
Isitoshe hata jina la Kafulila kalifuta FB yake, kabakisha Jesca Kishoa... sasa huyu ni mwanamke.gani!
Aendelee kuliwa huko aliko ili apate viti vya mababies.
Bubu siku hizi watu wengi wanaangalia maslahi kuliko mahaba usemacho kinaweza kuwa kweli pengine mawimbi yaliisha kichukua chombo kikenda mrama.Na kitendo cha mkewe kuondoa jina lake la mwisho kwenye FB page yake jana la Kafululila ni ushahidi tosha kwamba ndoa hii imeyumba siku nyingi tu. Sasa sijui kama hii dhoruba inaweza kuimaliza kabisa ama wataweza kuinusuru ndoa yao.
Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, huwezi kumdhalilisha mumeo kwa itikadi za kisiasa , mjinga sana huyu mwanamke, tena mpumbavu sana, tofauti za kisiasa na ndoa ni vitu viwili tofauti
Nimeona na nina watoto. Siwezi fanya maamuzi ya kitoto kama ya tumbili kuikosea heshima familia yangu na taifa kwa ujumla !Umeoa?
MiCCM bhana kujifanya ina nukuu biblia toka lini chama chenu kikaamini katika Mungu ? Nyie sio maetheist mnafuata mrengo wa mwenyekiti Mao !Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, huwezi kumdhalilisha mumeo kwa itikadi za kisiasa , mjinga sana huyu mwanamke, tena mpumbavu sana, tofauti za kisiasa na ndoa ni vitu viwili tofauti
Unadhani mtu aliyeoa anakuwa na mawazo kama ya kwako! Uliza ujibiweNimeona na nina watoto. Siwezi fanya maamuzi ya kitoto kama ya tumbili kuikosea heshima familia yangu na taifa kwa ujumla !
Ukifanya maamuzi ya kipuuzi mwenza wako akufuate tu ?Unadhani mtu aliyeoa anakuwa na mawazo kama ya kwako! Uliza ujibiwe