kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
baada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi ni brothers? nawaza nimulize ila naogopa fulani hivi. naomba ushauri wakuu