Mke wa Kaka hataki kunifulia nguo

Mke wa Kaka hataki kunifulia nguo

Acha ujinga dogo, shemej yako, akupikie ule ushibe, bado na nguo akufulie, hauna mikono au unamaanishaje? Madogo wa siku hiz tabu sana
 
baada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi ni brothers? nawaza nimulize ila naogopa fulani hivi. naomba ushauri wakuu
Hakuna kitu kibaya kama umaskini

Nunueni mashine ya kufulia mambo ya kutaka mtu akufulie kwa mikono yamepitwa na wakati
Una pepo la umaskini wewe
 
baada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi ni brothers? nawaza nimulize ila naogopa fulani hivi. naomba ushauri wakuu
Huyo mwanamke hana adabu kabisa. Mwambie waziwazi kwamba bila mama yako kumzaa kaka aliyemuoa, huenda hadi sasa angekuwa anadanga tu. Kama hataki kufua nguo za ndugu wa mumewe, aondoke hapo akatafute mume mwingine aache kuwachosha watu, ebo!
 
baada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi ni brothers? nawaza nimulize ila naogopa fulani hivi. naomba ushauri wakuu
Wataka ***** weye!!
 
baada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi ni ndugu? nawaza nimulize ila naogopa fulani hivi. naomba ushauri wakuu
Ushauri wewe ni mpumbavu.
Au kwa lugha nyingine hata ukipewa Ushauri hautauelewa sababu ya upumbavu.
Kwa hiyo hata anavyofanyiwa kaka yako usiku unataka na wewe ufanyiwe?
 
Back
Top Bottom