kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Huyo wee mtongoze tuu hamna jinsibaada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi ni brothers? nawaza nimulize ila naogopa fulani hivi. naomba ushauri wakuu
Miaka 32 bado unaishi kwa Kaka ako mbona we ni waajabu mwishowe utaolewa bure.baada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi ni brothers? nawaza nimulize ila naogopa fulani hivi. naomba ushauri wakuu
bado sijafikia umri wa kujitegemeaAcha upumbavu,tafuta kwako ukakae huko
wewe pia ulikua dogo wakati huo tuheshimianeIla madogo mmetuzoea vibaya sana humu ndani!
hii kazi iko wapi? mbona kama siwezi?
Kwanini?Na _log out😡 kwa akili hiyo form four utafeli.
Wacha bwana!!wewe pia ulikua dogo wakati huo tuheshimiane