Mke wa kigogo afumwa kwenye danguro la machangudoa akijiuz

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
[h=3][/h]

Machangudoa wakiwa wameziba nyuso zao zilisipigwe picha na mwandishi wetu.
IMG_1574.JPG

Mke wa mtu akiwa ameziba uso wake kwa mikono ili kukwepa kamara
IMG_1571.JPG

Mke wa mtu aliyesuka akiinamisha kichwa chini kukwepa kupigwa picha na kamera
IMG_1570.JPG

IMG_1569.JPG

Mke wa mtu akiwa amejifunika uso kwa Khanga ili asipigwe picha.
IMG_1576.JPG

IMG_1576.JPG

Katika hali isiyokuwa ya kawaida,mke wa kigogo mmoja ambae anacheo kikubwa hivi karibuni alibambwa kwenye danguro moja lilipo maeneo ya Sinza jijini Dar akijiuza.

Habari zaidi toka kwa watu wa karibu wanaomjua mwanamke huyo maarufu kwa jina la Mama Amina zinadai kuwayeye ni mke wa pili wa kigogo mmoja anaefanya kazi kwenye Wizara moja nyeti ya Serikali ya Jamhuri ya Tanzania.

Aidha watu hao waliiambia xdjayz Jijini Dar kuwa mwanamke huyo alifikwa na balaa hilo katika msako mkali unaoendelea wa Polisi Kanda ya Kinondoni wa kuwakamata machangudoa wote wanaojiuza.

Habari zaidi ziliendelea kusema kuwa kigogo huyo ana familia nyingine ambayo inaishi maeneo ya Mbezi Beach .
Huyu Mama Amina amempangishia nyumba maeneo ya Sinza Mori na amekuwa akimpa huduma zote muhimu...

Cha kushangaza ni kwamba kila mumewe akiondoka nyuma huenda kujiuza.

Mwandishi wetu jana alifika kituo cha Polisi Oysterbay na kushuhudia kundi la machangudoa hao wakipelekwa Mahakamanikwa gari ya Manispaa pamoja na gari ya polisi akiwemo mwanamke huyo wa kigogo.

Kwa nini kuwe maneno "kigogo mmoja"? Kama kweli una uhakika na habari yako kwa nini usiseme ni nani, badala ya kuja na habari za mafumbo?

Siku zote nachukia habari za udaku kwa sababu ya waandishi wake kutokua na ushahidi wa wanayosema
 
Hee jamani hii kali labda anamis dude ndo mana anaenda kutafuta nje haha pole ya huyo kigogo anayejua kapata kumbe kapatikana.na hao wengine wanajificha ni nini kama ni kawaida haha kazi jamani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Siku zote kunguru hafugiki! ukioa dege kumbuka hatobadilika kuwa kuku ndo maana jamaa akiondoka na dege linatoka!! Aaah teeeeh the kwii koh!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
How is she mke wa mtu wakati mtu mwenyewe ana mke wake tayari? Huyu ni sex worker tu, na huyo mtu ni mteja wake, suscriber.
 
Hata wake za walala hoi wanagegendwa vilevile na hao vigogo kwahyo ni copy na kupaste

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Maisha bora kwa kila mtanzania.
Serikali ya ccm imezidi kufanya uchumi wetu uwe mgumu.
Naamini hakuna hata dada mmoja anayefanya uchangudoa kwasababu ya kupenda.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
sasa wanakamata machangu ili iweje?...watu wamejiajiri wanawazingua?...haya sasa sisi wateja twende wapi?kwa wake zao?
 
4.bp.blogspot.com/-0ihWU_Ku9jQ/UPZqQpYAMkI/AAAAAAAAZs0/E_JDKuSFXqs/s1600/MALAYA.bmp"]
MALAYA.bmp
[/URL]

Machangudoa wakiwa wameziba nyuso zao zilisipigwe picha na mwandishi wetu.
IMG_1574.JPG

Mke wa mtu akiwa ameziba uso wake kwa mikono ili kukwepa kamara
IMG_1571.JPG

Mke wa mtu aliyesuka akiinamisha kichwa chini kukwepa kupigwa picha na kamera
IMG_1570.JPG
[/CENTER]

IMG_1569.JPG

Mke wa mtu akiwa amejifunika uso kwa Khanga ili asipigwe picha.
IMG_1576.JPG

IMG_1576.JPG

Katika hali isiyokuwa ya kawaida,mke wa kigogo mmoja ambae anacheo kikubwa hivi karibuni alibambwa kwenye danguro moja lilipo maeneo ya Sinza jijini Dar akijiuza.

Habari zaidi toka kwa watu wa karibu wanaomjua mwanamke huyo maarufu kwa jina la Mama Amina zinadai kuwayeye ni mke wa pili wa kigogo mmoja anaefanya kazi kwenye Wizara moja nyeti ya Serikali ya Jamhuri ya Tanzania.

Aidha watu hao waliiambia xdjayz Jijini Dar kuwa mwanamke huyo alifikwa na balaa hilo katika msako mkali unaoendelea wa Polisi Kanda ya Kinondoni wa kuwakamata machangudoa wote wanaojiuza.

Habari zaidi ziliendelea kusema kuwa kigogo huyo ana familia nyingine ambayo inaishi maeneo ya Mbezi Beach .
Huyu Mama Amina amempangishia nyumba maeneo ya Sinza Mori na amekuwa akimpa huduma zote muhimu...

Cha kushangaza ni kwamba kila mumewe akiondoka nyuma huenda kujiuza.

Mwandishi wetu jana alifika kituo cha Polisi Oysterbay na kushuhudia kundi la machangudoa hao wakipelekwa Mahakamanikwa gari ya Manispaa pamoja na gari ya polisi akiwemo mwanamke huyo wa kigogo.

[/FONT][/COLOR][/QUOTE]msidhalilishe wanawake namna hii, mbona hakuna hata mwanaume mmoja kwenye hilo gari?, au tuseme ni wasagaji watupu, haki kwa wote
 
Remove double standard,mbona hakuna mwanaume ktk hilo gari au mnataka kutujuza kuwa hao ni gays, wacheni dharau ,
 
Wangewashika na wanaume tujue haki imetendeka,jamani wanawake wametuzaa sisi kina baba tuwaheshimu na tuwaelimishe
 
[h=3][/h]

Machangudoa wakiwa wameziba nyuso zao zilisipigwe picha na mwandishi wetu.

IMG_1574.JPG

Mke wa mtu akiwa ameziba uso wake kwa mikono ili kukwepa kamara

IMG_1571.JPG

Mke wa mtu aliyesuka akiinamisha kichwa chini kukwepa kupigwa picha na kamera

IMG_1570.JPG

IMG_1569.JPG

Mke wa mtu akiwa amejifunika uso kwa Khanga ili asipigwe picha.

IMG_1576.JPG

IMG_1576.JPG

Katika hali isiyokuwa ya kawaida,mke wa kigogo mmoja ambae anacheo kikubwa hivi karibuni alibambwa kwenye danguro moja lilipo maeneo ya Sinza jijini Dar akijiuza.

Habari zaidi toka kwa watu wa karibu wanaomjua mwanamke huyo maarufu kwa jina la Mama Amina zinadai kuwayeye ni mke wa pili wa kigogo mmoja anaefanya kazi kwenye Wizara moja nyeti ya Serikali ya Jamhuri ya Tanzania.

Aidha watu hao waliiambia xdjayz Jijini Dar kuwa mwanamke huyo alifikwa na balaa hilo katika msako mkali unaoendelea wa Polisi Kanda ya Kinondoni wa kuwakamata machangudoa wote wanaojiuza.

Habari zaidi ziliendelea kusema kuwa kigogo huyo ana familia nyingine ambayo inaishi maeneo ya Mbezi Beach .
Huyu Mama Amina amempangishia nyumba maeneo ya Sinza Mori na amekuwa akimpa huduma zote muhimu...

Cha kushangaza ni kwamba kila mumewe akiondoka nyuma huenda kujiuza.

Mwandishi wetu jana alifika kituo cha Polisi Oysterbay na kushuhudia kundi la machangudoa hao wakipelekwa Mahakamanikwa gari ya Manispaa pamoja na gari ya polisi akiwemo mwanamke huyo wa kigogo.

Yawezekana Mzee amtoshelezi MAMAAA duhh Zingatia mnyumbulisho huu WAKE WAWILI + STRESS ZA OFISI + KUFUTWA KWA DILI + KULINDA NAFASI YAKE KWA UNAFIKI KWA WENGINE nadhani hawezi KUPEFORM kwa aina hii ya mdada, mzee arudi Square One upumzike
 
Back
Top Bottom