Mke wa kilokole.

Mke wa kilokole.

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
JAMAA alimuaga mke
wake mlokole kuwa
anaenda semina ya siku
tatu, kumbe anakwenda
kwa bi mdogo. Mke akamwambia
mumewe; "Tupige magoti
tusali", Wakapiga magoti…:
MKE: Eee baba msaidie
mume wangu afike
salama safari yake.
MUME: Emen… MKE: Mpe nguvu katika
yote atakayoyafanya
huko.
MUME: Emen… MKE: Akitaka kufanya
uasherati ashindwe.
MUME: Kimya… MKE: Akifanya uasherati
apatwe na janga baya
kwa uwezo wako bwana.
MUME: …….!! MKE: Yaani akifanya
uasherati afie hukohuko
kwa mateso makali.
MUME: Maombi gani
sasa hayo!!?. Haya basi
siendi semina ufurahi wewe. Chezea mawaifu
walokole wewe!
 
JAMAA alimuaga mke
wake mlokole kuwa
anaenda semina ya siku
tatu, kumbe anakwenda
kwa bi mdogo. Mke akamwambia
mumewe; "Tupige magoti
tusali", Wakapiga magoti…:
MKE: Eee baba msaidie
mume wangu afike
salama safari yake.
MUME: Emen… MKE: Mpe nguvu katika
yote atakayoyafanya
huko.
MUME: Emen… MKE: Akitaka kufanya
uasherati ashindwe.
MUME: Kimya… MKE: Akifanya uasherati
apatwe na janga baya
kwa uwezo wako bwana.
MUME: …….!! MKE: Yaani akifanya
uasherati afie hukohuko
kwa mateso makali.
MUME: Maombi gani
sasa hayo!!?. Haya basi
siendi semina ufurahi wewe. Chezea mawaifu
walokole wewe!
Ha ha ha ha ha ha ha!
 
Hata wewe mkuu unaweza kusaidia Hilo sidhani Kama kum acknowledge Katarina unaweza kushindwa. Onesha mchango wako mkuu
Mimi nimekukumbusha...mazoe hujenga tabia....Yeye amekaa amebuni, ubunifu wake lazima ulindwe....ukiamua kutumia ubunifu wake basi ackwoledge....
 
Mimi nimekukumbusha...mazoe hujenga tabia....Yeye amekaa amebuni, ubunifu wake lazima ulindwe....ukiamua kutumia ubunifu wake basi ackwoledge....
Mkuu nasi tumeelewa isipokuwa mnaokumbuka kwa wakati mnasaidia ku acknowledge the source after all kwa jinsi tulivyomtajataja inamtosha kufaham kuwa anatambulika. Halafu mkuu uko serious kudai acknowledgement Katarina ni Shemeji yet Nini? Ha ha ha
 
Back
Top Bottom