koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
JAMAA alimuaga mke
wake mlokole kuwa
anaenda semina ya siku
tatu, kumbe anakwenda
kwa bi mdogo. Mke akamwambia
mumewe; "Tupige magoti
tusali", Wakapiga magoti…:
MKE: Eee baba msaidie
mume wangu afike
salama safari yake.
MUME: Emen… MKE: Mpe nguvu katika
yote atakayoyafanya
huko.
MUME: Emen… MKE: Akitaka kufanya
uasherati ashindwe.
MUME: Kimya… MKE: Akifanya uasherati
apatwe na janga baya
kwa uwezo wako bwana.
MUME: …….!! MKE: Yaani akifanya
uasherati afie hukohuko
kwa mateso makali.
MUME: Maombi gani
sasa hayo!!?. Haya basi
siendi semina ufurahi wewe. Chezea mawaifu
walokole wewe!
wake mlokole kuwa
anaenda semina ya siku
tatu, kumbe anakwenda
kwa bi mdogo. Mke akamwambia
mumewe; "Tupige magoti
tusali", Wakapiga magoti…:
MKE: Eee baba msaidie
mume wangu afike
salama safari yake.
MUME: Emen… MKE: Mpe nguvu katika
yote atakayoyafanya
huko.
MUME: Emen… MKE: Akitaka kufanya
uasherati ashindwe.
MUME: Kimya… MKE: Akifanya uasherati
apatwe na janga baya
kwa uwezo wako bwana.
MUME: …….!! MKE: Yaani akifanya
uasherati afie hukohuko
kwa mateso makali.
MUME: Maombi gani
sasa hayo!!?. Haya basi
siendi semina ufurahi wewe. Chezea mawaifu
walokole wewe!