Ha ha ha ha ha ha ha!JAMAA alimuaga mke
wake mlokole kuwa
anaenda semina ya siku
tatu, kumbe anakwenda
kwa bi mdogo. Mke akamwambia
mumewe; "Tupige magoti
tusali", Wakapiga magoti…:
MKE: Eee baba msaidie
mume wangu afike
salama safari yake.
MUME: Emen… MKE: Mpe nguvu katika
yote atakayoyafanya
huko.
MUME: Emen… MKE: Akitaka kufanya
uasherati ashindwe.
MUME: Kimya… MKE: Akifanya uasherati
apatwe na janga baya
kwa uwezo wako bwana.
MUME: …….!! MKE: Yaani akifanya
uasherati afie hukohuko
kwa mateso makali.
MUME: Maombi gani
sasa hayo!!?. Haya basi
siendi semina ufurahi wewe. Chezea mawaifu
walokole wewe!
Mkuu samahani kukuwahi ha ha haHahahaha
kwani kuna mashindano ya kuwahiana mkuu?Mkuu samahani kukuwahi ha ha ha
Hapana mkuu Ila nimekwisha kutana na thread humu ikisifia ushapu wako ktk kucomment lkn mkuu sikuwa serious kivilekwani kuna mashindano ya kuwahiana mkuu?
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] ok hamna tabu mkuu...take it easyHapana mkuu Ila nimekwisha kutana na thread humu ikisifia ushapu wako ktk kucomment lkn mkuu sikuwa serious kivile
Ucheshi hauna hati miliki Kama unajua ni wa Katarina vunga wengine hatujui na tumeuona kwa Mara ya kwanza tumepunguza stress sasa Katarina ye naniCopy and pest ya Katarina
Unge acknowkedgeUcheshi hauna hati miliki Kama unajua ni wa Katarina vunga wengine hatujui na tumeuona kwa Mara ya kwanza tumepunguza stress sasa Katarina ye nani
Sent from my Tecno H5 using JamiiForums mobile app
Hata wewe mkuu unaweza kusaidia Hilo sidhani Kama kum acknowledge Katarina unaweza kushindwa. Onesha mchango wako mkuuUnge acknowkedge
Mimi nimekukumbusha...mazoe hujenga tabia....Yeye amekaa amebuni, ubunifu wake lazima ulindwe....ukiamua kutumia ubunifu wake basi ackwoledge....Hata wewe mkuu unaweza kusaidia Hilo sidhani Kama kum acknowledge Katarina unaweza kushindwa. Onesha mchango wako mkuu
Mkuu nasi tumeelewa isipokuwa mnaokumbuka kwa wakati mnasaidia ku acknowledge the source after all kwa jinsi tulivyomtajataja inamtosha kufaham kuwa anatambulika. Halafu mkuu uko serious kudai acknowledgement Katarina ni Shemeji yet Nini? Ha ha haMimi nimekukumbusha...mazoe hujenga tabia....Yeye amekaa amebuni, ubunifu wake lazima ulindwe....ukiamua kutumia ubunifu wake basi ackwoledge....