Mke wa kipofu anatembea na kiziwi kwa siri

Mimi naona Yuko sahihi mkuu..........sababu bubu,kiziwi na kipofu wote ni walemavu tofauti ni kwamba MACHO ni ubongo,na ukiwa unakula na kipofu usimkumbushe kuwa chukua nyama kwani atajihisi zilikuwemo nyingi zaidi hivyo huna upendo nae,hapo nashauri bwana bubu ASIMWAMBIE kipofu Bali atumie ISHARA kumtaka nayeye(heri kufa masikio sio macho,heri kufa masikio sio macho)
 
Mke wa kipofu anatembea na kiziwi kwa siri lakini anaejua siri hii ni bubu.
Je bubu atatumia njia gani kumwambia kipofu kua mkewe anatembea na kiziwi?


Hilo li kiziwi ni lijitu liovu sana licha ya ukiziwi wake bado linakula mke wa mlemavu mwenzake!!,----

Njia ambayo atakayotumia bubu ni njia ya ukalimani, yaani atamueleza mtu aliyekuwa mzima kwa lugha ya Ishara (sign language/lugha za mabubu ) na huyo mtu (mkalimani) ndiye atakayemfikishia kipofu ujumbe kwa maneno kuhusu mkewe kuliwa na kiziwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…