FCM ( full certified mpuuzi)Jamani habarini. Nipo Arusha natafuta mwanamke wa kudate tu na kusaidiana mambo mengine. Ndoa majaliwa.
Nina miaka 27 mfanyabiadhara na masters mbili za biashara.
Awe anaishi Arusha au Kilimanjaro tu.
Aje PM.
Mke! Lakini wa kudate! Acha tu!mke wa kudate,mmmnh
Mastaz 2. Hongera Mkuu! Degree ya kwanza hukupata Mke. Mastaz ya kwanza hukupata Mke! Mastaz ya pili hukupata Mke! Kwenye biashara zako huko pia hola! Sasa unabet Mke JF! Pole sana.Jamani habarini. Nipo Arusha natafuta mwanamke wa kudate tu na kusaidiana mambo mengine. Ndoa majaliwa.
Nina miaka 27 mfanyabiadhara na masters mbili za biashara.
Awe anaishi Arusha au Kilimanjaro tu.
Aje PM.