Mke wa kudate

Mke wa kudate

Sky zone

Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
93
Reaction score
91
Jamani habarini. Nipo Arusha natafuta mwanamke wa kudate tu na kusaidiana mambo mengine. Ndoa majaliwa.

Nina miaka 27 mfanyabiadhara na masters mbili za biashara.

Awe anaishi Arusha au Kilimanjaro tu.

Aje PM.
 
FCM ( full certified mpuuzi)
 
Jamani habarini. Nipo Arusha natafuta mwanamke wa kudate tu na kusaidiana mambo mengine. Ndoa majaliwa.

Nina miaka 27 mfanyabiadhara na masters mbili za biashara.

Awe anaishi Arusha au Kilimanjaro tu.

Aje PM.
Mastaz 2. Hongera Mkuu! Degree ya kwanza hukupata Mke. Mastaz ya kwanza hukupata Mke! Mastaz ya pili hukupata Mke! Kwenye biashara zako huko pia hola! Sasa unabet Mke JF! Pole sana.
 
Duuh,mke wa kudate....mkuu ungeongeza mastaz ya 3 halafu tafuta mke wa kuoa na sio mke wa ku-date.
 
mke wa kudate ndio nini mkuu.. kanunue malaya tu, ila kumbuka magonjwa
 
Back
Top Bottom