Mke wa kuoa anatakiwa 100%

Mke wa kuoa anatakiwa 100%

Natamani kupata mwanamke wa kufunga nae ndoa mwaka huu, umri wangu ni miaka 38, sijawai kuoa wala kuzaa na mwanamke yoyote nilikuwa masomoni Ujerumani.

Mwanamke awe na umri wowote, dini yoyote, awe tu anajitambua hata kama ana tabia mbaya au ni single mother au ni divorced awe tayari kubadilika hela ninayo ya kutosha.

Uje inbox na wasifu wako na picha kuthibitisha kama kweli wewe ni mwanamke atakaewahi kama ana sifa zinazotakiwa nitamuoa siku si nyingi, muhimu HIV status uwe negative.

Huwezi pata mwanamke wa kuoa hapa Bongo....nenda nje ya nchi.
 
Natamani kupata mwanamke wa kufunga nae ndoa mwaka huu, umri wangu ni miaka 38, sijawai kuoa wala kuzaa na mwanamke yoyote nilikuwa masomoni Ujerumani.

Mwanamke awe na umri wowote, dini yoyote, awe tu anajitambua hata kama ana tabia mbaya au ni single mother au ni divorced awe tayari kubadilika hela ninayo ya kutosha.

Uje inbox na wasifu wako na picha kuthibitisha kama kweli wewe ni mwanamke atakaewahi kama ana sifa zinazotakiwa nitamuoa siku si nyingi, muhimu HIV status uwe negative.
Mbona unarudia rudia kupost, watu wameshakuona, wee subiria tu kule PM
 
Natamani kupata mwanamke wa kufunga nae ndoa mwaka huu, umri wangu ni miaka 38, sijawai kuoa wala kuzaa na mwanamke yoyote nilikuwa masomoni Ujerumani.

Mwanamke awe na umri wowote, dini yoyote, awe tu anajitambua hata kama ana tabia mbaya au ni single mother au ni divorced awe tayari kubadilika hela ninayo ya kutosha.

Uje inbox na wasifu wako na picha kuthibitisha kama kweli wewe ni mwanamke atakaewahi kama ana sifa zinazotakiwa nitamuoa siku si nyingi, muhimu HIV status uwe negative.
Mkuu hujawahi kuoa na huyu ambaye haridhiki alikua mke wa jirani?
Mke wangu hariziki
 
Back
Top Bottom