Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Natafuta mke wakuoa awe mwalimu anaye fanya kazi dar na awe mkazi wa mbeya,hata kama atakuwa anafanya kazi mbeya itakuwa vizuri.umri 19-23,awe mkristo kamili mwenye maadiri mema 0718601714
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahaha i can see where u going bro! gud job..walimu ndo mpango mzima!!!
Jamaa anajua kuwa lazma uhakika wa visent utakuwepo.
uwepo wa nyumbani pia muhimu kaka. Maana mpaka aje kuteuliwa kwenda kusahihisha mitihani au semina elekezi ni mara moja kwa miaka kumi!
teh teh. Pia walimu hawana shift za usiku kazini.
Natafuta mke wakuoa awe mwalimu anaye fanya kazi dar na awe mkazi wa mbeya,hata kama atakuwa anafanya kazi mbeya itakuwa vizuri.umri 19-23,awe mkristo kamili mwenye maadiri mema 0718601714
ndio maana unataka mwalimu?Natafuta mke wakuoa awe mwalimu anaye fanya kazi dar na awe mkazi wa mbeya,hata kama atakuwa anafanya kazi mbeya itakuwa vizuri.umri 19-23,awe mkristo kamili mwenye maadiri mema 0718601714
ahaha i can see where u going bro! gud job..walimu ndo mpango mzima!!!