wakati anakunywa maziwa ya faru fausta alikuwa kimya aya acha aisome namba
watu wanahofia maisha yao wewe unasema kikiKiki.
Sasa atafute Kiki kivp wakati mwenyewe tu jinsi alivyo mzuri ni kiki tosha?!Naona bibie anaanza kutafuta kiki za akina zari
Huyu wala haitaji kiki,since way back ni mmoja ni kati ya platinums super stars unaowajua wewe,labda kama umekuja mjini juzi na gari ya ndizi.Naona bibie anaanza kutafuta kiki za akina zari
Huyu wala haitaji kiki,since way back ni mmoja ni kati ya platinums super stars unaowajua wewe,labda kama umekuja mjini juzi na gari ya ndizi.
Sasa atafute Kiki kivp wakati mwenyewe tu jinsi alivyo mzuri ni kiki tosha?!
Unafikiri utaondoa wasifu wake?Makubwa kisa unamfahamu wewe unataka lazimisha na wengine wamfahamu aache kiki,aendelee maisha yake bila kutaka front pages na sympathy
Povu wakati nakwambia ukweli ??yule Dada yuko smart sana .hana huo ushamba wakutafta kiki town kitambo sana .Mbona povu
Mpaka hivi Leo bado ni Faraja Kotta, why not Faraja Nyalandu so Miss Faraja Kotta or Mrs Nyalandu?.
Faraja Kota ambaye ni mke wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini CCM. Lazaro Nyalandu kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza jinsi anavyojawa na hofu baada ya mfululizo wa matukio ya wiki nzima tangu mumewe atangaze kujiondoa ndani ya CCM.
Mwanamke huyo aliyewahi kutwaa taji la Miss Tanzania katika mtandao huo ameandika "If only you knew how terrified I am", Akimaanisha laiti ungejua ni kiasi gani nimejawa hofu.
Hata hivyo, wafuasi wake katika mtandao huo katika maoni yao wamemtoa hofu huku naye akiwajibu kuashiria kukubaliana nao na jinsi wanavyomuunga mkono katika kipindi hiki.
Mmoja wa wafuasi wake Becky Bavuna ameandika majeshi yaliyo upande wenu ni mengi kuliko haya ya dunia naye Faraja amemjibu akisema "Ameen".
Mwingine amemwandikia ujumbe akisema: Mungu awatie nguvu muyaweze yote katika yeye awatiaye nguvu. You will be in my prayers", naye Faraja akajibu tafadhali endelea kutuombea.
Faraja , Mazinde girls sec product.Kiki.
Imeshawah KUMUHUKUMU NANI?
jina halibadili ndoa !!Mpaka hivi Leo bado ni Faraja Kotta, why not Faraja Nyalandu so Miss Faraja Kotta or Mrs Nyalandu?.
Ila naye kaolewa.Faraja , Mazinde girls sec product.
She's a smart lady.
Nilimkosa kumuoa rafiki yake mrembo fulani hivi sababu ya ufukara .
Nilipata hasira nikatafuta pesa kwa akili na bidii nikajiapiza kutokushindwa kupata nitakacho kwa sababu za ukata.Nashukuru kwa yaliyopita na yaliyopo.
Nyalandu anajulikana ni fisadiJe kama Nyalandu leo anaonekana ni mwizi au fisadi licha ya kuwa hakuna vithibitisho ,vipi akina ngereja,Chenge,akina Muhongo si wako ccm wameishafukuzwa au kuchukuliwa hatua yoyote,?
AWe jasiri kama mke wa Lissu
Nyalandu anajulikana ni fisadi