Mke wa Lazaro Nyalandu afunguka ya moyoni

Mke wa Lazaro Nyalandu afunguka ya moyoni

Wakati unasifiwa na Nyalandu kila kona ulikuwa unafurahia, sasa ujipange kutafuta mme mwingine ambaye ni Waziri
 
Makubwa kisa unamfahamu wewe unataka lazimisha na wengine wamfahamu aache kiki,aendelee maisha yake bila kutaka front pages na sympathy
Huyu wala haitaji kiki,since way back ni mmoja ni kati ya platinums super stars unaowajua wewe,labda kama umekuja mjini juzi na gari ya ndizi.
 
18d31617e41571abedbbdfc88732c5f6.jpg


Faraja Kota ambaye ni mke wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini CCM. Lazaro Nyalandu kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza jinsi anavyojawa na hofu baada ya mfululizo wa matukio ya wiki nzima tangu mumewe atangaze kujiondoa ndani ya CCM.

Mwanamke huyo aliyewahi kutwaa taji la Miss Tanzania katika mtandao huo ameandika "If only you knew how terrified I am", Akimaanisha laiti ungejua ni kiasi gani nimejawa hofu.

Hata hivyo, wafuasi wake katika mtandao huo katika maoni yao wamemtoa hofu huku naye akiwajibu kuashiria kukubaliana nao na jinsi wanavyomuunga mkono katika kipindi hiki.

Mmoja wa wafuasi wake Becky Bavuna ameandika majeshi yaliyo upande wenu ni mengi kuliko haya ya dunia naye Faraja amemjibu akisema "Ameen".

Mwingine amemwandikia ujumbe akisema: Mungu awatie nguvu muyaweze yote katika yeye awatiaye nguvu. You will be in my prayers", naye Faraja akajibu tafadhali endelea kutuombea.
Mpaka hivi Leo bado ni Faraja Kotta, why not Faraja Nyalandu so Miss Faraja Kotta or Mrs Nyalandu?.
 
Sasa hofu ya nn?waamin kile wanacho kiamin ndani yake kuna Mungu basi wamwamin huyo
 
Faraja , Mazinde girls sec product.
She's a smart lady.
Nilimkosa kumuoa rafiki yake mrembo fulani hivi sababu ya ufukara .
Nilipata hasira nikatafuta pesa kwa akili na bidii nikajiapiza kutokushindwa kupata nitakacho kwa sababu za ukata.Nashukuru kwa yaliyopita na yaliyopo.
Ila naye kaolewa.
 
Je kama Nyalandu leo anaonekana ni mwizi au fisadi licha ya kuwa hakuna vithibitisho ,vipi akina ngereja,Chenge,akina Muhongo si wako ccm wameishafukuzwa au kuchukuliwa hatua yoyote,?
Nyalandu anajulikana ni fisadi
 
Back
Top Bottom