Ni mke wa mbunge aliye jihudhulu hivi karibuni!
Nimekutana naye ktk mtaa fulani hapa Arusha lkn kwa mwonekano ni dhahili ni mtu asiye na AMANI na anajishtukia tu mda wote!
Na hata aliposhuka ktk gari hakika uso wake ni uliojaa aibu ya kukosa AMANI-sifahamu ni kwa sababu ipi hasa!
Wanasiasa jamani wakati mwingine mtasababisha MADHARA ya kisaikolojia kwa wenza wenu!Jitahidini kuwa na maamuzi ya kuzingatia na hali za wenza wenu hasa pale mnapoamua kufanya jambo kubwa na lihisulo hatma ya maisha yahusuyo familia zenu.
Pole dada na karibu ktk ulimwengu wa wagonjwa wa VIDONDA VYA TUMBO!