Mke wa Lazaro Nyalandu afunguka ya moyoni

Mke wa Lazaro Nyalandu afunguka ya moyoni

Ni mke wa mbunge aliye jihudhulu hivi karibuni!

Nimekutana naye ktk mtaa fulani hapa Arusha lkn kwa mwonekano ni dhahili ni mtu asiye na AMANI na anajishtukia tu mda wote!

Na hata aliposhuka ktk gari hakika uso wake ni uliojaa aibu ya kukosa AMANI-sifahamu ni kwa sababu ipi hasa!

Wanasiasa jamani wakati mwingine mtasababisha MADHARA ya kisaikolojia kwa wenza wenu!Jitahidini kuwa na maamuzi ya kuzingatia na hali za wenza wenu hasa pale mnapoamua kufanya jambo kubwa na lihisulo hatma ya maisha yahusuyo familia zenu.

Pole dada na karibu ktk ulimwengu wa wagonjwa wa VIDONDA VYA TUMBO!
 
Lazima keshaanza “kuunusanusa” movements zisizo za kawaida kutoka kwa watu “asiowajua”
 
Mungu aendelee kumpa ujasiri awe mke wa Mwanasheria Msomi ambaye watawala wanamwogopa Tundu Lissu. Ukishachagua kuwa upande wa upinzani ujiandae kwa kila aina ya uonevu.
Vijitu vingine, eti upinzani wanaonewa Tz. Na Rwanda au Burundi nao waseme vp
 
Kuwa na hofu kwake ni kitu cha kawaida sana kwa maisha ya binadamu kwani '' Binadamu tuna hofu sana juu ya FUTURE zetu hasa yanapotokea mabadiliko katika maisha yetu pia tunajilaumu na kujisifia juu ya PAST zetu''
 
huenda ameingiwa na ofu akifikiria kuhusu mahakama y mafisadi
Mahakama ya mafisadi siku Sizonje akichomoka magogoni, kivuko feki,uuzaji holela nyumba Za serikalli, 10% za ujenzi wa barabara haiwezi muacha salama. Shimo alilotaka kuwachimbia mahasimu wake atatumbukia mwenyewe. Sheria alizotunga Sadam hussein ndizo zilizomuhukumu mwenyewe !
 
Mali safi hii wakubwa wanafaidi
 
Back
Top Bottom