MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Baada ya ufunguzi wa kampeni kwenye majukwaa mawili matatu mke wa Tundu Antipas Lissu alionekana kwenye majukwaa akilia kwa uchungu kuhusu madhira aliyotendewa mmewe. Lakini ghafla CCM walipofungua kampeni mama aliona mbali sana na kuwaona Chadema hawana chao tena, aliona ufirstlady umeota mbawa.
Mke mpendwa wa Lissu ameona badala ya kupoteza muda kwenye kampeni ambazo ni wazi kabisa CCM wanashinda bora atumie muda huo kushugulikia elimu ya watoto wake mapacha na gari alilokuwa akitumia kupewa Sheikh Ponda.
Hongera mama kwa kuona mbali na kuokoa nguvu na muda.