Uchaguzi 2020 Mke wa Lissu anaona mbali sana, mwezi sasa ameona ajiweke mbali na kampeni

Baada ya ufunguzi wa kampeni kwenye majukwaa mawili matatu mke wa Tundu Antipas Lissu alionekana kwenye majukwaa akilia kwa uchungu kuhusu madhira aliyotendewa mmewe. Lakini ghafla CCM walipofungua kampeni mama aliona mbali sana na kuwaona Chadema hawana chao tena, aliona ufirstlady umeota mbawa.

Mke mpendwa wa Lissu ameona badala ya kupoteza muda kwenye kampeni ambazo ni wazi kabisa CCM wanashinda bora atumie muda huo kushugulikia elimu ya watoto wake mapacha na gari alilokuwa akitumia kupewa Sheikh Ponda.

Hongera mama kwa kuona mbali na kuokoa nguvu na muda.
Mke wa Magufuli mweusi kama Mnubi ameonekana mara ngapi kwenye mikutano ya Kampeni ya Rais mpenda wanawake weupe mpaka amewajaza Serikalini? Akishindwa First Lady out Mzanzabari mweupe in!
 
Hongera. Baada ya uchaguzi kuna maisha
 
Mke wa Magufuli mweusi kama Mnubi ameonekana mara ngapi kwenye mikutano ya Kampeni ya Rais mpenda wanawake weupe mpaka amewajaza Serikalini? Akishindwa First Lady out Mzanzabari mweupe in!

Hiki ndio walikuwa wanakitaka hahaha hawajui unapomsema Lisu vibaya basi equivalent yake ni kumsema magu vibaya
 
Kwani mama Jesca ametoka hospital? Tunataka tumuone jukwaani akipiga goti nakugaragara na Bwana Jiwe,
Au amekwenda Kongo kununu mkorogo awe mweupe?mana mzee anataka watoto rangi ya mtume
 
Baada ya ufunguzi wa kampeni kwenye majukwaa mawili matatu mke wa Tundu Antipas Lissu alionekana kwenye majukwaa akilia kwa uchungu kuhusu madhira aliyotendewa mmewe. Lakini ghafla CCM walipofungua kampeni mama aliona mbali sana na kuwaona Chadema hawana chao tena, aliona ufirstlady umeota mbawa.

Mke mpendwa wa Lissu ameona badala ya kupoteza muda kwenye kampeni ambazo ni wazi kabisa CCM wanashinda bora atumie muda huo kushugulikia elimu ya watoto wake mapacha na gari alilokuwa akitumia kupewa Sheikh Ponda.

Hongera mama kwa kuona mbali na kuokoa nguvu na muda.
Kila kampeni yupo ndiyo hufahamu. Na ujue ana kazi Maalum. Hivi unafahamu chakula anachokula lisu kinapikiwa wapi? Lissu analindwa kama mboni ya jicho. Mke mwema huyu hajawahi tokea. Amekuwa na mumewe kwa raha na taabu. She is full of energy and love.
 
Uzi wa Mwembe kujitoa umeshaondolewa haraka sana. JF imepigiwa kengele. ACT watoke na Press haraka kutangazia umma kuwa mgombea alishajitoa hivyo wasimpigie kura bali wampigie mgombea wa upinzani mwenye nguvu.
 
Make wa Rungwe au wagombea wengine unawajua? Kwani anayegombea ni mke?
 
Baada ya ufunguzi wa kampeni kwenye majukwaa mawili matatu mke wa Tundu Antipas Lissu alionekana kwenye majukwaa akilia kwa uchungu kuhusu madhira aliyotendewa mmewe. Lakini ghafla CCM walipofungua kampeni mama aliona mbali sana na kuwaona Chadema hawana chao tena, aliona ufirstlady umeota mbawa.

Mke mpendwa wa Lissu ameona badala ya kupoteza muda kwenye kampeni ambazo ni wazi kabisa CCM wanashinda bora atumie muda huo kushugulikia elimu ya watoto wake mapacha na gari alilokuwa akitumia kupewa Sheikh Ponda.

Hongera mama kwa kuona mbali na kuokoa nguvu na muda.
Samahani kaka ww mke wa lissu anakuhusu nini? Au ni mchepuko wa lissu?
 
Back
Top Bottom