Uchaguzi 2020 Mke wa Lissu anaona mbali sana, mwezi sasa ameona ajiweke mbali na kampeni

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Baada ya ufunguzi wa kampeni kwenye majukwaa mawili matatu mke wa Tundu Antipas Lissu alionekana kwenye majukwaa akilia kwa uchungu kuhusu madhira aliyotendewa mmewe. Lakini ghafla CCM walipofungua kampeni mama aliona mbali sana na kuwaona Chadema hawana chao tena, aliona ufirstlady umeota mbawa.

Mke mpendwa wa Lissu ameona badala ya kupoteza muda kwenye kampeni ambazo ni wazi kabisa CCM wanashinda bora atumie muda huo kushugulikia elimu ya watoto wake mapacha na gari alilokuwa akitumia kupewa Sheikh Ponda.

Hongera mama kwa kuona mbali na kuokoa nguvu na muda.
 
Huyo ameona mume wake ana matatizo mengi
Hataki kupeleka laana ya usaliti kwa watoto
Huyu mama anasitahili kupewa tuzo ya UVUMILIVU Duniani. Kumudu kuishi na shetani miaka yote hiyo.
Mataga kwa ubora wenu . Hata kusali hamuendi ?!. Hivi na nyie mmesoma shule hizi hizi wanazosoma watoto wetu ?!. Mbona wote kama hamna akili ?! Au mzazi wenu ni moja ?
 
Yaani umekaa ukafikiria, katika mambo yote ya kuongelea ukachagua kuongelea mambo ya wake za watu!!
 
Atulie tuu hiyo ni hekima. Mume anaweza pewa ubalozi pale ubelgiji
 
WANAWAKE NAO WAWEWANAMSHIRIKISHA MUNGU AWAPE MUME MWEMA.
 
Na wewe mumeo yuko kundi gani au bado una danga?
 
 
We ni mpuuzi tu tangu lini umeona mke wa mgombea anazunguka nae mikutano yote.
Kaolewe na meko basi uzunguke nae
 
Acha uongo ,mke wa Lissu alikuepo chato pamoja na mume wake
 
Ahahahah
Ahahah
 

Mke wa Lipumba umewahi kumuona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…