Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Je siyo kweli kwamba KIFO NI KIFOHii sasa ndio ile CCM tunayoijua yaani!
Hata kabla Marehemu hajazikwa tayari uzushi ushatengenezwa! Hivi Ndugai kafa kwa ugonjwa wa Mungu kama Ndugulile au kuna Mengine, kulikoni haya mambo?
View attachment 3437058View attachment 3437059
Hii Picha ya Mwisho haina Uhusiano na uzi huu ila nimeiweka ili kuwakilisha CCM
View attachment 3437060
TUUUUU