Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Familia ukiwa katika hekaheka za kutafuta ulaji
Project kwa project Yericko Nyerere wewe u azindua lini hapa kigamboni🤣🤣🤣🤣?!Katika Hali ya kushangaza Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMA katika kata ya Songambele aliposimamishwa kumuombea Kura mumewe badala ya kusema CHAUMA OYE badala yake akasema CCM OYEEEE!!!!
Ilikuwa ni úzinduzi wa kampení ya mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHAUMMA
Ndugu Devota Minja
View attachment 3465089