mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wao wataishi milele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wananchi tukiwa na sauti moja,haya yote yatakwisha!Sasa kama huwezi kuzuia mauaji utachukua hatuna gani.
Mkuu chukua maua yako kwa kuweka kila kitu clear. Vijana wanadanganywa Sana na mbowe ambaye familia yake haina njaa na watoto wake wanasoma kwenye shule za hadhi.
Anayeshika bunduki simjui ila ninachojua ni kwamba huyo mtekaji atawateka vijana wengi na mbowe anayewafanya hao vijana kutekwa atabaki na famili yake.
Hapo umenena. Halafu Kuwe na viongozi wa upinzani wenye msimamo thabiti siyo hawa wanaowasihi wananchi waandamane ilihali wao wamejibanza.wananchi tukiwa na sauti moja,haya yote yatakwisha!
Viongozi wote wa hapa nchini wanawachezea Sana watu masikini kwa kuwatumia katika shughuli haramu. Hata akina mbowe wanatumia watoto wa masikini ilihali watoto waonwanasoma shule nzuri, haya yote yanasababishwa na njaa..lakini Ccm kama wanajisikia kutuua basi watumie watoto wa viongozi kama Abduli, au Wanu, na sio kutumia watoto wa masikini kama Mafwele na genge lake. Vijana wa Ccm wanamwaga damu za vijana wenzao halafu madaraka wanapata kina Husseni, Wanu, Ridhiwani, na watoto wengine wa vigogo.
Viongozi wote wa hapa nchini wanawachezea Sana watu masikini kwa kuwatumia katika shughuli haramu. Hata akina mbowe wanatumia watoto wa masikini ilihali watoto waonwanasoma shule nzuri, haya yote yanasababishwa na njaa
Ushauri wa maana sanaVijana nawaambia kila siku acheni kutumika na wanasiasa kesho utamkuta Mbowe ikulu wewe umeacha familia inateseka
Viongozi wawe na misimamo au wasiwe nayo ni juu yao,i dnt care!Hapa ninachojali mimi ni uhai wa binadamu mwenzangu!Ni nani huyo anayejiona ana haki na pumzi ya mtu mwingine?ShameHapo umenena. Halafu Kuwe na viongozi wa upinzani wenye msimamo thabiti siyo hawa wanaowasihi wananchi waandamane ilihali wao wamejibanza.
Huwezi tenganisha maisha na siasaVijana nawaambia kila siku acheni kutumika na wanasiasa kesho utamkuta Mbowe ikulu wewe umeacha familia inateseka
Mkuu dunia inasaliti hata hao walio ikumbatia! Jiangalie sanaMbowe akioneshwa hela au cheo anawauza muda wowote kwa nini ukitafute kifo kisicho na ulazima?
Sasa haya ni maisha gani kama watanzania.Wakuu,
Nimekutana na video ya mke wa Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed akielezea namna ambavyo polisi walimkamata na kumuua mume wake kwa kumpiga risasi nne.
Mama huyu anasema kuwa aliwaomba polisi wasimuue mumewe lakini polisi walimpiga mume wake risasi nne na hivyo mume wake alifariki dunia
Pia alisema kuwa mwanae aliona jinsi baba yake alivyouwawa kikatili na polisi.
Soma pia: Manyoni: George Juma Mohamed, Mgombea wa CHADEMA auawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia tar 27, 11, 2024
=========================================
Naomba niishie hapa. Nisije nikaandika zaidi nikaharibu.
Ila haya mambo yote huwa yana mwisho na mwisho wake huwa sio mzuri
View attachment 3166595
Siyo Tu kamishna, waziri mwenye dhana angekaa pembeniKule Marekani Trump alipopigwa risasi, Mkuu wa kitengo cha usalama wa siri alijiuzulu, nilitegemea na Kamishna Generali wa Jeshi la Magereza awe tayali amemuandikia barua Rais wetu kuomba kujiuzuru
Div 4, hawajitambui kabisa!Mimi ndiyo maana sina urafiki na mapolisi.