Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka kusema ni yule mtoto wake Obama wa kwanza ila kinachonifanya niamini ni mke wa Mh.Lema ni hicho kitenge.
yaani bora ampe mtu aitoe maana yaweza kuwa inampunguzia uwezo wa kufikirikweli wewe ni bikira..lol
Mke wa Mh lema nijasiri sana yuko kama mke wa Mh Lowassa wote ni wazuri na ni wasomi sana kitu ambacho ccm hawawezi .
swissme
Ni kawaida kwa makamanda kuchagua visu sasa tafuta upande wa pili utakimbia
Mumunya ubuyu kimya kimya weweHivi alichapwa vibao?
wewe umeandika nini sassJamani mbona mmo humu muda mrefu ila hamjifunzi cha kuandika?
Exactly mkuuMwanamke sio sura mkuu ni tabia!
Mwanamke sio sura mkuu ni tabia!
Tabia inafundishika si uzuriMwanamke sio sura mkuu ni tabia!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Usitamani mke wa jirani yako
Hahaaaa.....huku wapi eti.....???![emoji12] [emoji12]Mtumie mke wa Obama picha ya mke wa Lema ajue ana pacha wake huku maguni.