Mke wa mshikaji wangu aniduwaza!


Mke wa mtu ni sumu bro, epuka kabisa!!! Mwambie outright no!, Hakuna siri ya wau 2, itavuja 2 siku 1. Wewe umeoa?
 
Unahitaji jinsi ya kumjibu huyo shemejiyo ilhali ucvunjahusiano baina yako na hiyo familia. Kiuhalisia nadhani jibu sahihi ni lile lenye kupnesha msimamo. Mwambie huyo shemejiyo hautoweza kufanya kitu kama hiyo na kama ni bifu basi iwe bifu. Huyu mama hapo alipo ana mawazo mengi ya kumfanya mmewe atulie hata kama ni kwa kuhatarisha ndoa yake.

Pili tambua kabisa kama dhamira yake imenuia lazima atoke na yeye hauwezi kunusuru urafiki wenu iwe kwa kutoka nae ama kwa kuto kutoka nae.

Ni bora ukavunja urafiki lakini ukabaka salama kiafya, kijamii na kisaikolojia pia.
 
Kazi kwako kama urafiki wenu ni wa mashaka kale mzigo lakini kumbuka kuna ukimwi
 
wewe umeoa? au una mpenzi?... jibu hayo kwanza then tuendelee....
 
Kaa naye mbali huyo mwanamke,jiulize ni kwa nini upendo wake uwe wa ghafla sana hususani kipindi hiki ambacho amekuja kujua kuwa mumewe anatoka nje ndo aanze kukupenda? Ni mwongo na mtaka kulipa kisasi tu ili ikiwezekana amuumize roho mumewe na ikibidi kuwagombanisha na mshkaji tu. Stay away from her,hana lolote jema na la maana litakalokufaa!!
 
Nimeduwazwa na jibu lako. Kuna wakati unakuwa kama binadamu lol. Naanza kukufukuzia rasmi.

hahaha usiduwae bwana...mie ndio mwenye kwa ushauri wa kweli...yaani nakupa ukweli wa mambo. mzima lakini maana umenitosa
 
Aah..Mzabzab upo juu..kwa kweli kumsaliti rafikie c jambo jema huwezi kujenga uadui na rafiki yako wa karibu kisa KUGEGEDA....
Ahahaaaaaa.....

hahaha asante...kugegeda lazima kuwe na mipaka bwana
 


Kula mzigo huo tonge mdomoni,,,sema chonde chonde usijenge KIBANDA maana utanogewa!
 
Ndio mimi pia nimeoa.

Kama umeoa ni vizuri. Mweleze huyo shemeji yako kuwa wewe hutaki kuiingiza ndoa yako kwenye matatizo, kwa sababu mkeo akija kugundua, itakuwa balaa. Mkeo akija kugundua hiyo 'infidelity', ndoa yako inaweza kuvunjika, kwa hiyo ni heri wewe ubaki na ndoa yako salama usalimin!!! Mwambie atafute ndugu zake mumewe wamweke chini wamshauri ajirekebishe na apunguze au aache masanga kabisa
 

Ila mwanamke kuna vitu vimemsukuma kutaka kuchepuka maana wakati mwingine wanaume hudhani ukishamuoa mwanamke basi ndio umekamilisha zoezi kwamba unakuja muda wowote unaotaka na ukifika unasalimia na kula msosi na kuoga kwenda kulala na kuomba mzigo unagegeda basi, no other stories na siku nyingine ndio hizo unalala small house. Swali la kujiuliza huyu mwanamke alikwenda kwa mwanaume kulala mwenyewe? kama ni hivyo si bora wangebaki kama boy friend and gf ili wawe wanakutana kwa vipindi maalumu
 
Wengi wameangalia tu upande wa mwanamke kama tatizo, lakini ukweli ni kwamba huyo mwanamke anakupenda si kwamba wewe ni special sana bali amekuja kukugundua kwamba una vitu unavyo huenda kwa jinsi anavyokuona labda unavyoishi na familia yako labda na yeye anatamani na yeye mume wake awe kama wewe na mwisho wa siku anataka kutoka na wewe, I believe kama ndoa yake ingekuwa ipo strong haya mawazo ya kukutokea yasingekuwepo.

Epukana nae huyo mwanamke kama suruhisho la kwanza lakini la muhimu ni kuangalia namna ya kumshauri mumewe bila kujua kwamba mkewe amekuomba umshauri kuhusu hizo tabia zake, kama ni rafiki yako huyo jamaa ni rahisi kujua kona zake zingine ambazo anachepuka kugegeda small house
 
Ogopeni sana kuwa washauri wa karibu wa wake za rafiki zenu...kwani wanawake hao mwisho wa siku watataka kupata faraja ya mapenzi kutoka kwenu! Mazingira hayo huwa ni breeding ground ya mapenzi yenye usaliti wa ndoa!
 
He he he, huoni anaturingishia how handsome he is hadi mke wa rafikiye kampenda?

He needs to grow up bana

..dahh.. kongoshooo..!!?? no mercy at alll..! I cant you..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…