Mke wa mshikaji wangu aniduwaza!

Mke wa mshikaji wangu aniduwaza!

Binafsi sina lengo la kumsaliti mshikaji wangu ila nimelileta kwenu ili mnishauri nimjibu vipi huyu mwanamke ili heshima yangu kwa familia hii iendelee kuwapo na pia kusitokee chuki yoyote kutokana na kadhia hii itakayopelekea urafiki wangu na familia hii kuyumba au kupotea.

Aliwazalo/atamanilo mtu ndani ya dhamiri yake ndilo liwalo..... Ikimbie zinaa mkuu.
 
ahha dnt twist the story bwana...sasa mambo ya kabang umeyatoa wapi...plus this guy had it coming...u got to treat ir wife well bwana mpaka mwanamke atoke nje ndugu yangu mume kafanya kitu kibaya sana...wanawake wavumilivu sana na kwambia mpama mke atoke ujue in most cases mume amemtenda vibaya

REALLY! I aint twistin shit! Kasema kaitiwa MZIGO!!!!!!! Sasa we huo MZIGO umejuaje ni Chekanao au Kabang kama sio ushabuki maandazi? Could be either or even both!

Hayo ya Baba na Mama nawaachua wenyewe!!!!!!!!!!
 
Nilishapata mtihani kama huo halafu mtoto mwenyewe mzuri huyo..Almanusra lakini nilimshinda shetani.
Bahati nzuri walirudi vizuri na jamaa....Siku za mwanzo ananitizama kwa aibu tukikutana.
 
jana nimeduwazwa sana baada ya mke wa rafiki yangu kunitamkia wazi kuwa ananipenda na anataka kutoka na mimi.
Tangu nifahamiane naye miaka takribani mitano sasa tumekuwa tukiheshimiana naye sana kama mashemeji. Mwaka huu akaniambia kuwa mumewe ameanza kubadilika kwa kuzidisha ulevi, kuchelewa kurudi nyumbani na wakati mwingine kulala nje na pia alizifuma meseji za mapenzi kwenye simu ya mumewe kutoka kwa mtu aliyemsave kwa jina la kiume, hivyo nimsaidie kumshauri ili abadilke ila akanionya nisimwambie kama ni yeye ndiye kaniambia.

Nilimtia moyo kuhusu hali hiyo na kumwomba awe mvumilivu na asichoke kuongea na mumewe kuhusu hali hiyo ili abadilike. Binafsi nilipata wakati mgumu wa namna gani nitamshauri jamaa bila kumtajia makosa yake na wapi nimeyapata hivyo nikashindwa hiyo kazi.

Mke wa jamaa akaanza kunipigia simu usiku kulalamika kila mumewe anapochelewa kurudi na wakati mwingine akinipigia alfajiri kuniambia kuwa mumewe hajarudi hadi muda huo. Niliendelea kumtia moyo ingawa mambo hayo yalikuwa ni ya kweli.

Cha ajabu kuanzia wiki jana amekuwa akinitumia meseji za mapenzi, nikajua ni hizi meseji ambazo watu hutumiana hivyo sikujali sana hadi pale aliponiandikia akiniambia kuwa yuko serious anataka kutoka na mimi. Sikuamini nikampigia simu kusikia sauti yake kama ni yeye kweli, ndipo aliponithibitishia kuwa yuko serious na atatunza siri na kunitunzia heshima yangu kwa jamaa kwani tayari moyo wake umeangukia kwangu.

Sikuweza kumjibu kitu kwa namna nilivyopatwa na mshangao. Hadi sasa anaendelea kunibembeleza na kunipa mbinu nyingi za kutimiza lengo lake bila kujulikana na watu.

Binafsi sina lengo la kumsaliti mshikaji wangu ila nimelileta kwenu ili mnishauri nimjibu vipi huyu mwanamke ili heshima yangu kwa familia hii iendelee kuwapo na pia kusitokee chuki yoyote kutokana na kadhia hii itakayopelekea urafiki wangu na familia hii kuyumba au kupotea.

Inavyonesha huyo shemejio ama anataka kulipa kisasi au ni mwanamke ambaye hajazoea mambo ya kujichanganya hivyo anatumia methali isemayo "fimbo iliyopo karibu ndiyo inayoua nyoka". Ushauri ni kwamba; moja, tumia busara kukataa kabisa ombi lake kwa sababu sio ubinadamu, ungwana au ustaarabu. Pili mshauri kwamba achane na mawazo ya kisasi, ajaribu 'kum-ignore' huyo mumewe, badala yake ajipendezeshe kwa kuvaa vizuri na kufanya mazoezi mepesi mepesi bila kuonyesha kwamba anaumizwa na tabia zake. Mwisho wa siku huyo mumewe ataona wivu tu na kujirudi. Mwisho kama anaongea sana apunguze maneno maana wanaume wengi hawapendi maneno mengi ya kulaumu laumu bila sababu za msingi.
 
Zingatia ushauri wa wengi, vinginevyo anza kuvaa chupi ya mbao. Akijua basi nya yako halali yake.
 
moto uliwasha mwenyewe kujifanya mshauri nasaha, kwani wewe ulikuwa best man, hata kama hukutakiwa kuwa karibu na huyo shemeji nataka!!! Muepuke mara moja na umueleze , utamueleza mume wake juu ya tabia yake mbaya.Kama mumewe ana makosa atafute baraza muafaka kutatua gogoro hilo, siyo akutumie wewe kama spare tire ya ngono, wakati anazalisha gogoro jingine kwa pepo ngono wake. Kimbia haraka, dawa ya zinaa ni kuikimbia.
 
Pole mkuu wamogori, ikimbimbie zinaa, na hapo tena pabaya zaidi mke wa rafiki yako, no no no no,,,,,,.............no, no.......

Ukiweza vunja mahusiano/urafiki/mazoea na wote yaani mke na mme wote piga chini, fanya mambo yako.
 
Last edited by a moderator:
Natamani ningekuwa karibu yako nione hizo message za malove zinavyo fululizana.

Hadi sasa anaendelea kunibembeleza na kunipa mbinu nyingi za kutimiza lengo lake bila kujulikana na watu.

Ningepata angalau mbinu 3 zingenisaidia katika shunguli zangu.
 
Nimeduwazwa na jibu lako. Kuna wakati unakuwa kama binadamu lol. Naanza kukufukuzia rasmi.
vizuri kama hutami kumsaliti jamaa...wee panga kuongea nae face to face na make r stand clear in no uncertain terms kuwa hilo haliwezekani....nothing gud has ever come out of affairs.
 
Mbinu za kuvunja ndoa yangu na Paw? Hiyo sijui kama utafanikiwa labda kwenye ulimwengu ujao.
Natamani ningekuwa karibu yako nione hizo message za malove zinavyo fululizana.

Ningepata angalau mbinu 3 zingenisaidia katika shunguli zangu.
 
Jana nimeduwazwa sana baada ya mke wa rafiki yangu kunitamkia wazi kuwa ananipenda na anataka kutoka na mimi.
Tangu nifahamiane naye miaka takribani mitano sasa tumekuwa tukiheshimiana naye sana kama mashemeji. mwaka huu akaniambia kuwa mumewe ameanza kubadilika kwa kuzidisha ulevi, kuchelewa kurudi nyumbani na wakati mwingine kulala nje na pia alizifuma meseji za mapenzi kwenye simu ya mumewe kutoka kwa mtu aliyemsave kwa jina la kiume, hivyo nimsaidie kumshauri ili abadilke ila akanionya nisimwambie kama ni yeye ndiye kaniambia.

Nilimtia moyo kuhusu hali hiyo na kumwomba awe mvumilivu na asichoke kuongea na mumewe kuhusu hali hiyo ili abadilike. Binafsi nilipata wakati mgumu wa namna gani nitamshauri jamaa bila kumtajia makosa yake na wapi nimeyapata hivyo nikashindwa hiyo kazi.

Mke wa jamaa akaanza kunipigia simu usiku kulalamika kila mumewe anapochelewa kurudi na wakati mwingine akinipigia alfajiri kuniambia kuwa mumewe hajarudi hadi muda huo. Niliendelea kumtia moyo ingawa mambo hayo yalikuwa ni ya kweli.

Cha ajabu kuanzia wiki jana amekuwa akinitumia meseji za mapenzi, nikajua ni hizi meseji ambazo watu hutumiana hivyo sikujali sana hadi pale aliponiandikia akiniambia kuwa yuko serious anataka kutoka na mimi. Sikuamini nikampigia simu kusikia sauti yake kama ni yeye kweli, ndipo aliponithibitishia kuwa yuko serious na atatunza siri na kunitunzia heshima yangu kwa jamaa kwani tayari moyo wake umeangukia kwangu.

Sikuweza kumjibu kitu kwa namna nilivyopatwa na mshangao. hadi sasa anaendelea kunibembeleza na kunipa mbinu nyingi za kutimiza lengo lake bila kujulikana na watu.

Binafsi sina lengo la kumsaliti mshikaji wangu ila nimelileta kwenu ili mnishauri nimjibu vipi huyu mwanamke ili heshima yangu kwa familia hii iendelee kuwapo na pia kusitokee chuki yoyote kutokana na kadhia hii itakayopelekea urafiki wangu na familia hii kuyumba au kupotea.

kaka mchape nao tena umle tigo ndipo atakapokuheshimu after all hata wewe ukioa mkeo ataliwa tu bora uanze kuwala mapema
 
vizuri kama hutami kumsaliti jamaa...wee panga kuongea nae face to face na make r stand clear in no uncertain terms kuwa hilo haliwezekani....nothing gud has ever come out of affairs.

Aah..Mzabzab upo juu..kwa kweli kumsaliti rafikie c jambo jema huwezi kujenga uadui na rafiki yako wa karibu kisa KUGEGEDA....
Ahahaaaaaa.....
 
kaka mchape nao tena umle tigo ndipo atakapokuheshimu after all hata wewe ukioa mkeo ataliwa tu bora uanze kuwala mapema

We nae walivokuondoa hiyo kitu ya kutokutoa shahawa basi hiyo fimboyaasali yako imekua taa kila sehemu yataka kumulika......acha kumshauri mwenzio vitu sio!!!!!
 
Haya ndio maradhi ya wanawake wengi, wakishakuwa lonely and alone ukawapa sehemu ya kulalamikia,mwisho wa siku atakutaka au kukupenda.
 
Back
Top Bottom