Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi NAKAZI hapo ulipokaziaHapo kwenye kiakiba chako NAKAZIA
Kuwa makini
Mambo.S. pm kumbe we muoga hivi?!
we usijeniambukiza hizo hamu shindwaMambo.
Kuna uzi wako umentia ham asubuhi nimekufata pm umenifungia. Pls nifungulie
Acha hizo babe. I love uwe usijeniambukiza hizo hamu shindwa
Inawezekana.....physiology of dream haichagui mtu aote kipi na asiote kipi..lkn pia huenda sio kweli kwamba anakuota,saiv vyuma vimekaza so huenda yy na mume wanapanga namna ya kuingiza pato kupitia fumaniz....tafuta waschana ila wake za watu achana nao kabisaIla swali linaloniumiza kichwa ni inakuaje mwanamke amuote mwanaume ambaye si mume wake wakati yupo kitandani na mumewe?? Na inawezekana kuwa hata wake zetu nao wanawaota wanaume wengine wakati wapo na sisi??
Mkuu mbona Mimi juzi usiku wa ijumaa nimeota namla mke wa mtu ambaye miaka miwili iliyipita alikuwa mfanyakazi mwenzangu. Inawezekana.Kama mada inavyojieleza wadau. Nina rafiki yangu ambaye anamiliki Mini supermarket. Na pale amemuweka mke wake aisimamie. Mara kwa mara mimi hufika pale kwa ajili ya kufanya manunuzi na kumuungisha rafiki yangu. Kama mwezi mmoja uliopita huyu mama ambaye ni shemeji akaniambia shemeji leo nimekuota. Nikachukulia ni hali ya kawaida ya mfanyabiashara kuvutia mteja. Siku tatu baadae wakati nalipia manunuzi yangu akaniambia tena huku akishangaa na kuniuliza, inakuaje niote nafanya mapenzi na wewe wakati nimelala na mume wangu? Mara ya pili sasa nakuota. Kwa jinsi nilivyo mstaarabu nikaazimia kuacha kufika dukani hapo. Sasa juzi rafiki yangu akaniuliza shehe mbona umeacha kuniungisha shemeji yako anasema hakuoni siku hizi. Au umepata sehemu yenye huduma bora kuzidi kwetu? Nikamwambia nachelewa kutoka kazini. Tukaishia hapo. Sasa maswali ninayojiuliza na kuomba msaada kwa wadau ni haya. Inawezekana kweli mwanamke akamuota mwanamme mwingine wakati amelala na mumewe? Na inawezekana kuwa huyo mwanamke ametamani kuchepuka na mimi na akaamua kutunga uongo ili aninase kirahisi? Na swali la tatu ni je hakuna uwezekano kuwa hiyo ni mpango uliopangwa baina ya wawili hao ili wanifumanie na kunichomoa kiakiba changu? Naomba kuwasilisha..
Hili nalo neno[emoji1]mtu yeyote hawez kuota kitu kama hakiwazi sana, kumuwaza sana mtu kunapelekra kumuota..Sasa mkuu kuwa makini siku akiota kwa saut unamtafuna na mmewe akasikia.., Unalo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu sijui kwa nini nikiona post zako mwili unasisimka kabla hata ya kusoma..S. pm kumbe we muoga hivi?!