Mke wa mtu ameniota

Ila swali linaloniumiza kichwa ni inakuaje mwanamke amuote mwanaume ambaye si mume wake wakati yupo kitandani na mumewe?? Na inawezekana kuwa hata wake zetu nao wanawaota wanaume wengine wakati wapo na sisi??
Inawezekana.....physiology of dream haichagui mtu aote kipi na asiote kipi..lkn pia huenda sio kweli kwamba anakuota,saiv vyuma vimekaza so huenda yy na mume wanapanga namna ya kuingiza pato kupitia fumaniz....tafuta waschana ila wake za watu achana nao kabisa
 
Anza kwenda tena dukani kwake ila kama akianza story zake za ndoto basi usirudi tena.
 
mtu yeyote hawez kuota kitu kama hakiwazi sana, kumuwaza sana mtu kunapelekra kumuota..Sasa mkuu kuwa makini siku akiota kwa saut unamtafuna na mmewe akasikia.., Unalo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu mbona Mimi juzi usiku wa ijumaa nimeota namla mke wa mtu ambaye miaka miwili iliyipita alikuwa mfanyakazi mwenzangu. Inawezekana.
 
Mwanamke hawez akakurupuka tu kukuambia amekuota unamla ,punguza mazoea na mke wa mtu
 
mtu yeyote hawez kuota kitu kama hakiwazi sana, kumuwaza sana mtu kunapelekra kumuota..Sasa mkuu kuwa makini siku akiota kwa saut unamtafuna na mmewe akasikia.., Unalo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hili nalo neno[emoji1]

Maana jamaa atajua moja kwa moja kuwa sababu iliyopelekea j
Asiwe anamuungisha jamaa ni kujihisi kuwa jamaa kajua kuwa anatembea na mke wangu...

Mpaka kufikia hatua ya mke kumuota jamaa[emoji1]


So..na mimi nakazia kuwa makini sana mkuu.
 
Ni hivi una vitu ambavyo vimemvutia huyo mwanamke ambavyo amekosa kwa mumewe ndivyo vimemfanya akufikilie zaidi

Huwenda ukawa ni mcheshi unavaa mavazi ayapendayo kwahiyo sio ajabu wewe kumvutia yeye yote yanawezekana.

Kuhusu fumanizi mwanamke mwenye akili hawezi kukubali kudhalilika kirahisi kiasi hicho labda ungemuanza wewe na u Ms imbue kwa muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…