Mke wa mtu ameniota

kwa hiyo ulimuota omosexy hapo na wezere lake au?mimi sijawahi kuota zaidi ya mwanaume tena sikuwa naota tunananiii naota mengine
Kumbe huyu ananidanganya. Yeye anasema kaniota wakati tunasex na wewe unasema haijawahi kukutokea kumuota mwanaume mnananihii au kuna tofauti kati ya mwanamke na mwanamke?
 
Mkuu acha kuchuma dhambi ndogondogo, Piga chini
 
Hiyo inatokea sana na n ndoto tu jiulize kwann huawah kumuota dem unayempenda au wakat mwingine unamuota mtu mwingine ambae hata hujawah kufikiria kua na mahusiano nae kwahy hiyo inatokea tu
 
Hyu mwanamke kakutaman tu kwa mtu anayejiheshmu hata kama umeota hyo utanyamaza tu sasa yy anakazia nna uhakika n uongo mtupu kabisa ko usithubutu
 
Ni kweli kwamba mtu hawezi kujichagulia kwamba leo aote nini akilala. Lakini kuwa makini na mtego huo lainilaini. Mwizi huyo, atakumaliza.
 
Kuhusu kuwa mpango kati yake na mumewe si rahisi mkuu hayo hufanyika uswazi sana , ni kuwa shemeji anakutaka basi
 
Ila swali linaloniumiza kichwa ni inakuaje mwanamke amuote mwanaume ambaye si mume wake wakati yupo kitandani na mumewe?? Na inawezekana kuwa hata wake zetu nao wanawaota wanaume wengine wakati wapo na sisi??
Hakuna cha ndoto hapo ni maneno ya kutunga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…