nimeoa hivi karibuni ila wakati natoka kumchukua mke wangu nilipokea simu kutoka kwa msichana ambae nilikua na mahusiano nae miaka mitatu iliyo pita ambae arikwisha orewa ananieleza kua mtoto alie nae nimtoto wangu na si mtoto wa bwana anae ishi nae anadai kama nitahitaji nikamchukue je nifanyeje jamani nahofia ndoa yake na yangu pia
Huyo ukute ameachika huko aliko olewa au yuko about kuhachwa anakutaka tena kijanja. Kwani wewe ulikuwa na affair nae wakati ameshaolewa au kabla? Mwambie mkeo mapema ili kwa upande wako uwe safe kwani huyo tegemea atakuwa anakusumbua daima. Akiona unampotezea atamwambia mkeo. Kwa hiyo bora ujisalimishe mapema.
Kitendo cha kukuambia ukamchukue mtoto ni obvious mme wake anajua mtoto si wake otherwise utaendaje kumchukua mtoto kwenye familia ambayo baba hajuhi kama mtoto si wake.
Mwambie mkeo, atakuelewa tu kama kweli na wewe hukujua una mtoto. Ingawa najua mkeo ataumia. Ila mwanao kamchukue then pima DNA kuhakikisha. Mtu akishasema chukua mwanao ogopa anaweza kumdhuru.
nimeoa hivi karibuni ila wakati natoka kumchukua mke wangu nilipokea simu kutoka kwa msichana ambae nilikua na mahusiano nae miaka mitatu iliyo pita ambae arikwisha orewa ananieleza kua mtoto alie nae nimtoto wangu na si mtoto wa bwana anae ishi nae anadai kama nitahitaji nikamchukue je nifanyeje jamani nahofia ndoa yake na yangu pia
in the first place,wewe mwenyewe ukikaa na kujiuliza nafsini mwako na kwa mazingira yako unadhani nafsi inakusuta kuwa huyo mtoto anaweza kuwa wako?. kwani ana umri gani kwa sasa?.... umepeleleza na kujua kuwa huyo mama kweli anamtoto.....?sio kuusimika ndugu yangu alikua grl frnd wangu kabla ya hapo baadae nilihama mji huo kwenda nchi jirani baada ya kurudi nikaambiwa kisha olewa sikuwa na lakufanya ikabidi nitafute mrembo mwingine
Jamani ni Kiswahili au ni lugha ya kina Miraji??[/COLOR]
Jamani ni Kiswahili au ni lugha ya kina Miraji??
Wewe ni mzinzi uliyekubuhu.:mod:.nimeoa hivi karibuni ila wakati natoka kumchukua mke wangu nilipokea simu kutoka kwa msichana ambae nilikua na mahusiano nae miaka mitatu iliyo pita ambae arikwisha orewa ananieleza kua mtoto alie nae nimtoto wangu na si mtoto wa bwana anae ishi nae anadai kama nitahitaji nikamchukue je nifanyeje jamani nahofia ndoa yake na yangu pia
Neno jipya hili.....inakuwaje???