Huyo ukute ameachika huko aliko olewa au yuko about kuhachwa anakutaka tena kijanja. Kwani wewe ulikuwa na affair nae wakati ameshaolewa au kabla? Mwambie mkeo mapema ili kwa upande wako uwe safe kwani huyo tegemea atakuwa anakusumbua daima. Akiona unampotezea atamwambia mkeo. Kwa hiyo bora ujisalimishe mapema.
Kitendo cha kukuambia ukamchukue mtoto ni obvious mme wake anajua mtoto si wake otherwise utaendaje kumchukua mtoto kwenye familia ambayo baba hajuhi kama mtoto si wake.
Mwambie mkeo, atakuelewa tu kama kweli na wewe hukujua una mtoto. Ingawa najua mkeo ataumia. Ila mwanao kamchukue then pima DNA kuhakikisha. Mtu akishasema chukua mwanao ogopa anaweza kumdhuru.