Mke wa mtu anataka anywe sumu kwa ajili tangu mi bad boy

Mke wa mtu anataka anywe sumu kwa ajili tangu mi bad boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Niko kwenye matatizo makubwa sana sielewi hata nifanyaje aisee

Mimi ni kijana mchakarikaji kinoma ambaye napiga kaz zangu na jion kurud gheto kutulia na kusikiliza music

Sasa siku moja nikiwa natoka job si unajua tena folen la dar na nyomi kubwa la watu, nikiwa natembea zangu kwa mguu nilimuona sister mmoja ambaye alikuwa akidrive private car huku akiwa kashusha vioo vya gar akisikiliza nyimbo ya ngwea geto langu

Baada ya kumtizama nikampa hai mambo sister akasema fresh huku akifunga break akanambia njoo nikupe lift bro, sikuona noma kijana nikapanda dinga aina ya prado new model lenye usajil wa D, tulienda tukipiga story lakin mtoto nilikuwa nikimchekesha kinoma na akapiga salute juu ya maswaga yangu ya hatari sana. Tuliendelea na safar mwisho wa siku kubadilishana namba

Kama kawa kama dawa mtoto akanielewa mwenyewe tukapanga siku ya kuoanana na tukakutana hotel fulan nikapiga show kama kawa
Toka nimpige show kwa sasa mimi simpend kinoma lakin anakuwa ana force tukutanae nipige show nami sina kinyongo nakutana naye napiga show kama kawiz

Lakin juz uzalendo ulinishinda nikamtakia waz kuwa simutak na simpend mtoto kalia kinoma na anataka kujiua

Kadai kama nikimuacha atajiua na mimi nitasota sana maana mizimu yake itaniandama had mwisho wa maisha yangu

Mume wake anafanya kaz mbali sana yuko nchi moja inaitwa italy

Yaan hata sielewi nifanyeje ushaur wenu wadau ndo utakao nitoa kimaso maso

LONDON BABY
 
Mods naomba munilekebishie hapo juu ni kwa ajir yangu sio kwa ajiri tangu
 
Angalia lift hizi usije kupanda nissan patrol jeupe!
 
KUAMKA ASUBUHI HII NA MAWAZO YA KUANZISHA THREAD MGANDO NI DALILI ZA FRUSTRATIONS.
 
Back
Top Bottom