Mke wa mtu anataka kuzaa na mimi. Je, nimtafune au nimpotezee?!

Anapesa Sana halafu tena amechoka Sanaa!!
Kama upo under 25 basi hatukulaumu akili bado haijapevuka hujui maana ya mke wa mtu lakini pia hujui mtu mwenye pesa balaa yupoje.
Kama upo above 26 na umeandika tungo hii basi Kuna tatizo pahali..
Wazazi tutunze watoto hasa na janga hili la Afya ya akili.
 
Ni muda mzuri Sana huu kusali/kuswali ndugu sio kuwaza mapenz tu
Kuhusu huyo dada ngoja waamke wazee wa busara watakusaidia
Hii ni chai Aaliyyah 🤣🤣🤣
Japo umemshauri vizuri sana, Ibada ni bora kuliko kutanguliza zinaa. Sasa mtu ni mke wa mtu bado tena una mawasiliano naye ya nini?
 
Hii story imenifanya nijihoji naelewe kilicho andikwa? Nilivyo pitia comment nikaona kumbe ni wote' tumeona wiki iliyopita alafu Tena kwa Sasa kihesa....hivi visungura hivi ni vidudu vibaya vikiingia kichwani...hii story imeeandikwa kwa nguvu ya sungura wa kwenye plastic ndogo
 
Vijana mnaoishi kwa Mume wa Dada (Shemeji) mnakuwaga na vistori vya ajabu sana.

FANYA MPANGO UHAME HAPO KWA SHEMEJI YAKO KIJANA

PambanaZaidi/CottonandMore
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mtafune tena mtafune haswaaaa
 
bwana ee! mke wangu unataka kuzaa nae? qu....ae nikikunyaka dogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…