Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Mtoa mada na wewe umempa ushauri mzuri japo hastahili huo ushauriMimi ndo nimetoa chai au mtoa mada?😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada na wewe umempa ushauri mzuri japo hastahili huo ushauriMimi ndo nimetoa chai au mtoa mada?😃
Undugu uliopo ni kupitia ulichonacho km huna utabakia peke yakoMaisha yamekaza sana ktk karne hii ya 21 hadi yameibua watunzi wa hadithi za Abunuwasi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
View attachment 3095325
Hii mbona ni ya Erick Shingongo?Mwaka 2015 kwenye harakati za kutafuta kazi, nikaingia ofisi moja hapa Jijini Dar es Salaam. Nilipewa connection na rafiki yangu kuwa niende kuonana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo. Mwamba nikabeba zangu vyeti vyote mpaka wa dini, shughuli ilianza mapema sana nikaamka saa 10 usiku kujiandaa tu. Niliambia kuwa nikipewa nafasi ya kujipigia upatu basi nihakikishe siachi hata punje ya neno.
Nilifika ofisini pale saa 1 kasoro na kukaribishwa na dogo mmoja wa kike, mrembo kutoka Singidani. Mcheshi fulani hivi ila muongeaji sana, kwa kuwa Mkurugenzi alikuwa hajafika ilinibidi nikae mapokezi, kidogo mwamba napitia madesa. Kiukweli kale kadada kalinipa mapokezi mazuri sana, nikapewa na kahawa moja ya moto sana, huku AC ikipuliza.
Saa 2 Mkurugenzi alifika na ilinibidi kusubiria tena kwa zaidi ya masaa 2 na nusu kwa sababu Mtendaji alikuwa na kikao na wafanyakazi. Nikabakia pale Mapokezi na yule binti. Tulipiga stori nyingi sana na kufahamiana, kufika saa 4 tukaanza na kutaniana kabsa.
View attachment 3095323
Muda kidogo alipigiwa simu kuwa anielekeze Conference room ilipo ili niende kushusha nondo zangu. Kale kadada sijui kalitolea ujasiri wapi tu ila kalinishika mkono na kuniongoza mpaka Conference room kisha aliniaga na kunitakia mema.
Kwenye mahojiano na Mtendaji nilimaliza kila kitu kiasi kwamba nilipewa kazi na kuambiwa kuwa Jumatano itanibidi kuwa ofisini. Nilikubali huku moyo ukidunda mapigo ambayo hayaeleweki. Nilikwenda kumuaga yule dada na kumuomba namba, kitu ambacho alinipa ili tuendelee kuwasiliana.
Kifupi yule dada alini-bless mara nyingi sana haswa Ijumaa kwa sababu tulikuwa tunatoka kazini saa 6 na nusu ili kuwaruhusu waislamu kwenda kuswali. Basi tunakwenda sehemu moja tunaunganisha hasi na chanya.
Baada ya miaka miwili niliacha kazi na kwenda Iringa ambapo nilipata mchongo mwingine wenye malipo makubwa. Tulipotezana kabsa na ingawa namba yake nilikuwa nayo na nikiona status za WhatsApp.
Siku moja niliona ujumbe kuwa nimeunganishwa kwenye kundi ndani ya WhatsApp. Kumbe ni maandalizi ya harusi ya huyu dada, wiki kadhaa mbele alipost picha nne akionesha amechumbiwa.
Uchumba ulikaa miezi kadhaa tu n baadaye walifunga ndoa, hapo nikaacha rasmi kumtafuta na nikafuta namba zake. Mbaya ni kwamba wiki iliyopita nikiwa Shinyanga nimekutana na huyu bi mdada amechoka ile mbaya! Na ndoa yake ipo matatani sana! Wameshindwa kupata mtoto.
Huyu dada kwa sasa ana pesa hatari, sio kitoto. Tulikutana Kihesa huko Iringa na tukakaa sehemu ili tuzungumze. Tuliongea mengi sana na yeye binafsi alikiri kuwa watoto wangu wawili aliwafanyia abortion ili aendelewe kuwa kwenye. Nilimua sana, kuna kipindi niliona ni kama anafanya makusudi.
Jana usiku alipiga simu na tukazungumza sana kwa kirefu na kitu cha ajabu alinipa fursa kuwa kuna milioni 1 endapo tu nitakubali kulala naye ili apate mtoto.
Kiukweli nimemiss fujo zake na vurugu za huyu mdada ila suala la kuzaa naye, je mnadhani nipo sahihi kulitaka shauri hilo. Kiufupi kwa sasa ni Mke wa mtu, mume wake anafanya kazi na moja ya benki hapa Tanzania kama Branch Manager. Hapa nina appointment ya next week tutoke out? Je nikule akazae apate kuokoa ndoa au nitupilie mbali hili jambo?
Kiufupi kwa sasa ni Mke wa mtu, mume wake anafanya kazi na moja ya benki hapa Tanzania kama Branch Manager. Hapa nina appointment ya next week tutoke out? Je nikule akazae apate kuokoa ndoa au nitupilie mbali hili jambo?
Af hapohapo anapesa ile mbaya sasa amechoka nn kwa mfano mkuumdada amechoka ile mbaya!
MrejeshoMwaka 2015 kwenye harakati za kutafuta kazi, nikaingia ofisi moja hapa Jijini Dar es Salaam. Nilipewa connection na rafiki yangu kuwa niende kuonana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo. Mwamba nikabeba zangu vyeti vyote mpaka wa dini, shughuli ilianza mapema sana nikaamka saa 10 usiku kujiandaa tu. Niliambia kuwa nikipewa nafasi ya kujipigia upatu basi nihakikishe siachi hata punje ya neno.
Nilifika ofisini pale saa 1 kasoro na kukaribishwa na dogo mmoja wa kike, mrembo kutoka Singidani. Mcheshi fulani hivi ila muongeaji sana, kwa kuwa Mkurugenzi alikuwa hajafika ilinibidi nikae mapokezi, kidogo mwamba napitia madesa. Kiukweli kale kadada kalinipa mapokezi mazuri sana, nikapewa na kahawa moja ya moto sana, huku AC ikipuliza.
Saa 2 Mkurugenzi alifika na ilinibidi kusubiria tena kwa zaidi ya masaa 2 na nusu kwa sababu Mtendaji alikuwa na kikao na wafanyakazi. Nikabakia pale Mapokezi na yule binti. Tulipiga stori nyingi sana na kufahamiana, kufika saa 4 tukaanza na kutaniana kabsa.
View attachment 3095323
Muda kidogo alipigiwa simu kuwa anielekeze Conference room ilipo ili niende kushusha nondo zangu. Kale kadada sijui kalitolea ujasiri wapi tu ila kalinishika mkono na kuniongoza mpaka Conference room kisha aliniaga na kunitakia mema.
Kwenye mahojiano na Mtendaji nilimaliza kila kitu kiasi kwamba nilipewa kazi na kuambiwa kuwa Jumatano itanibidi kuwa ofisini. Nilikubali huku moyo ukidunda mapigo ambayo hayaeleweki. Nilikwenda kumuaga yule dada na kumuomba namba, kitu ambacho alinipa ili tuendelee kuwasiliana.
Kifupi yule dada alini-bless mara nyingi sana haswa Ijumaa kwa sababu tulikuwa tunatoka kazini saa 6 na nusu ili kuwaruhusu waislamu kwenda kuswali. Basi tunakwenda sehemu moja tunaunganisha hasi na chanya.
Baada ya miaka miwili niliacha kazi na kwenda Iringa ambapo nilipata mchongo mwingine wenye malipo makubwa. Tulipotezana kabsa na ingawa namba yake nilikuwa nayo na nikiona status za WhatsApp.
Siku moja niliona ujumbe kuwa nimeunganishwa kwenye kundi ndani ya WhatsApp. Kumbe ni maandalizi ya harusi ya huyu dada, wiki kadhaa mbele alipost picha nne akionesha amechumbiwa.
Uchumba ulikaa miezi kadhaa tu n baadaye walifunga ndoa, hapo nikaacha rasmi kumtafuta na nikafuta namba zake. Mbaya ni kwamba wiki iliyopita nikiwa Shinyanga nimekutana na huyu bi mdada amechoka ile mbaya! Na ndoa yake ipo matatani sana! Wameshindwa kupata mtoto.
Huyu dada kwa sasa ana pesa hatari, sio kitoto. Tulikutana Kihesa huko Iringa na tukakaa sehemu ili tuzungumze. Tuliongea mengi sana na yeye binafsi alikiri kuwa watoto wangu wawili aliwafanyia abortion ili aendelewe kuwa kwenye. Nilimua sana, kuna kipindi niliona ni kama anafanya makusudi.
Jana usiku alipiga simu na tukazungumza sana kwa kirefu na kitu cha ajabu alinipa fursa kuwa kuna milioni 1 endapo tu nitakubali kulala naye ili apate mtoto.
Kiukweli nimemiss fujo zake na vurugu za huyu mdada ila suala la kuzaa naye, je mnadhani nipo sahihi kulitaka shauri hilo. Kiufupi kwa sasa ni Mke wa mtu, mume wake anafanya kazi na moja ya benki hapa Tanzania kama Branch Manager. Hapa nina appointment ya next week tutoke out? Je nikule akazae apate kuokoa ndoa au nitupilie mbali hili jambo?
HahahaHuyo ni mke wangu nimemruhusu we mtafune tu mkuu uwe na amani
We mtoto upo!Af hapohapo anapesa ile mbaya sasa amechoka nn kwa mfano mkuu
Nipo shkamoo mkuuWe mtoto upo!
Marhaba! Unaendeleaje!?Nipo shkamoo mkuu
siendelei mkuuMarhaba! Unaendeleaje!?
Kwann huendelei mtoto wangu!?siendelei mkuu
Shida ni zilezile babangu ikiongozwa na poor capitalKwann huendelei mtoto wangu!?
Nini shida!?
AseeeMwaka 2015 kwenye harakati za kutafuta kazi, nikaingia ofisi moja hapa Jijini Dar es Salaam. Nilipewa connection na rafiki yangu kuwa niende kuonana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo. Mwamba nikabeba zangu vyeti vyote mpaka wa dini, shughuli ilianza mapema sana nikaamka saa 10 usiku kujiandaa tu. Niliambia kuwa nikipewa nafasi ya kujipigia upatu basi nihakikishe siachi hata punje ya neno.