Captain Phillip
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 894
- 538
Nimeona angalau nipitie hapa Madame B tia neno plz
Toa ushauri bibie kabla hajaipeleka mmu.Kwa ushauri zaidi nenda MMU
Hii ilete MMU.
Lakini ukae ukijua mke wa mtu ni sumu.
Leo katoba tairi, kesho anaweka sumu ya panya kwenye kikombe cha chai.
Tunza familia yako mkuu Achana na wake za watu, watoto wako wasije wakakukosa.
Wewe si Msemaovyo? Sasa kesho ukifika ofisini anza kumsemeaovyo mpaka atubu. . .
Hii ilete MMU.
Lakini ukae ukijua mke wa mtu ni sumu.
Leo katoba tairi, kesho anaweka sumu ya panya kwenye kikombe cha chai.
Tunza familia yako mkuu Achana na wake za watu, watoto wako wasije wakakukosa.[/QUOT
Mkuu Rutta nililiona hili na nilijua napita tu mara moja ila shuruba aliyonipa leo ni Mungu tu anajua.Halafu kapita anaenda kwenye Ki-vitz chake kakunja sura huyo!!
Unatembelea tairi vipara unamsingizia dada wa watu. Angetaka kukufanyizia angekiwasha moto hicho kigereti chako aone utavyosota na ma3 hadi mkopo wa saccoss upitishwe!