Mke wa mtu kaniambia kaniota ndotoni

Mke wa mtu kaniambia kaniota ndotoni

VINICIOUS JR

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
208
Reaction score
518
Kwema wadau. kama mada inavyojieleza, leo nikiwa natoka mishemishe naelekea home nikakutana huyu dada akaniita nikaenda kumsikiliza kuja pale ndo ananiambia kaniota ndotoni nampelekea moto wakati sijamtongoza.

Nikamuuliza unanipenda kanijibu hapana, pia nikamuuliza kipindi unaniota ulilala na mme wako akajibu ndio sasa nikamwambh je, unge ropoka usingzini hayo uliyonambia ingekuaje anachoongea hakieleweki.

Yaani nimebaki nimeduwaa silewi nifanyaje.
 
20240517_133213.jpg
 
Back
Top Bottom