Mke wa mtu kaniambia nikapmie kundi la damu. Hii maana yake nini?

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
25,874
Reaction score
36,030
Kuna mwanamke ni mke wa mtu ila inaonekana amenitamani, hili si tatizo kwangu maana nalimudu.

Tatizo langu ni pale aliposema nikapime group langu la damu alafu ni mwambie, hili kalirudia sana na kunisisitiza, huku akisema yeye ni group O- hvyo na mimi nipime kisha nimwambie.

Nimbana anataka kugundua nini hataki kusema, bora hata angesema nipime ngoma ningejiongeza kwamba labda anataka kunipa tunda.
 
Kuna Aina ya Damu mtu akiwa nayo atoweza zaa mtoto katika Ndoa yake. Huenda Mumewe ana hilo tatizo so anataka wa Kuzaa nae.

 
Anataka mimba,,hilo grup la damu kubeba mimba ni mtihani,,pia ikitokea ukabeba mimba kisha utoe aseeee lazima ujuuuteeee
 
Lakini ana watoto na mumewe!

Au wale nao kapigwa yule jamaa?
 
Ndio maana RC aliingia mtego, Yaani mtu kukuangalia tu ulishawaza ngono? Hujafikiria labda anataka akutoe kafara?
Huyu hapa chini alichekewa tu akajua anapendwa
 

Attachments

  • 18453D00-14A3-4218-88DD-254829C7519E.jpeg
    127.9 KB · Views: 5
Ndio maana RC aliingia mtego, Yaani mtu kukuangalia tu ulishawaza ngono? Hujafikiria labda anataka akutoe kafara?
Huyu hapa chini alichekewa tu akajua anapendwa
Mkuu mimi sina cheo chochote huko ccm
 
Mkuu, ngoja nikurahisishie mambo...
Kuna group za damu na pia kitu kinachoitwa Rh+ au Rh-.
Huyo bidada maana yake ni group O Rh- kwa hivyo mwanaume itabidi awe pia na Rh- pamoja na blood group yeyote hakuna shida. Mwanaume akiwa na Rh+ kuna uwezekano mkubwa mimba kuharibika au hata kuhatarisha maisha ya mama.
Ni hayo tu kwa kifupi.
 
Kwa hivyo anataka nizae nae au?
 
Kwahy kwenye sekta ya kuzagamuana hilo jambo unalimudu, ila swala la kujua kundi la damu yako upo njia panda?
 
Wewe ni mwanaume au una jinsia ya kiume tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…