Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kuna mwanamke ni mke wa mtu ila inaonekana amenitamani, hili si tatizo kwangu maana nalimudu.
Tatizo langu ni pale aliposema nikapime group langu la damu alafu ni mwambie, hili kalirudia sana na kunisisitiza, huku akisema yeye ni group O- hvyo na mimi nipime kisha nimwambie.
Nimbana anataka kugundua nini hataki kusema, bora hata angesema nipime ngoma ningejiongeza kwamba labda anataka kunipa tunda.