Mke wa mtu kaniletea msala

Huyo jamaa ukisoma machapisho yake mengi kila kitu kaweka hadharani, hii ni hatari kwa afya ya wahusika na hata yeye mwenyewe,
Sijui anafanya makusudi au ni uzwazwa unamtesa.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Mke anauma mno tofauti na dem! Na ukiliwa mke unaweza kuchuka hatua kali za kufa kupona tofauti na dem. Jiandae, wajulishe ndugu mapema wakusaidie wakiona umeanza kuonesha manadiliko [emoji16]
 
Amevuruga location yake. Umakuta yupo mbeya huyu au mtwara
 
Tunakumbushana!!!!!!!!!!! Umepata faida gani??????? Mzee una bahati sana na wake za watu!!!!!!!!!!!!!

Nimeamini wake za watu wanaliwa sana misibani. Amini hili kwa 100%

Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara. Majuzi nilihudhuria mazishi ya Mzee mmoja maarufu. Sasa tukiwa msibani kuna dada mmoja msukuma mweupe kapanda hewani na tako hilo. Katika harakati zangu nikafanikiwa kupata namba zake ambapo alinieleza kaolewa mkoa jirani na alikuwa kapewa ruhusa na mmewe...

Mke kwenda kwenye party ya harusi usiku mume akiwa safari

Hiyo Kuna dada mmoja tumejikuta washkaji wanne tumeshapita nae bariadi bila kujuana mpaka tulipokuja kujuana baadae.Ni muuza matunda.Ana shape la maana na kaolewa na fala mmoja hivi.Huyu dada Huwa hakosi mialiko na ushiriki wake kwenye harusi za watu ni mkubwa mno.Kwa kifupi Huyu dada utokaji...
 
Trip siyo bunda kibara mkuu hiyo ni code
 
sasa mkuu una expose hadi identity za watu kabisa? mbaya zaidi unadeclare kwamba mke wa mtu ushamla hadi mtandao pendwa? Jamaa we huna akili na ushikishwe ukuta tuu maana hamna namna sasa.
 
Jiandae kufanyiwa ulichokuwa ukimfanyia mke wa mtu.
 
sasa mkuu una expose hadi identity za watu kabisa? mbaya zaidi unadeclare kwamba mke wa mtu ushamla hadi mtandao pendwa? Jamaa we huna akili na ushikishwe ukuta tuu maana hamna namna sasa.
Mkuu nimeficha code hizo mnazoona nimeexpose ni code fake acheni ujuaji
 
sasa mkuu una expose hadi identity za watu kabisa? mbaya zaidi unadeclare kwamba mke wa mtu ushamla hadi mtandao pendwa? Jamaa we huna akili na ushikishwe ukuta tuu maana hamna namna sasa.
Mkuu hakuna nilipoexpose code kwa uwazi.Hizo zote ni code fake.Shida humu wajuaji mmekuwa wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…