Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha woteKwamba mke alikuwa analiwa na wengi? Aliyeuwawa siye aliyekusudiwa
Kwa hiyo mwanaume alikuwa na wanamke wengi. Mume wake alitarajia mwingine akakuta mwingine.
Kijana ambaye amefahamika kwa jina la Faida Deus (34) mkazi wa kijiji cha Bugalama kata ya Bugalama Halmashauri ya wilaya ya Geita ameuawa kwa tuhuma za kufumaniwa na mke wa mtu.
Wakizungumza na waandishi wa habari ndugu wa marehemu wamesema tukio hilo lilitokea Oktoba 30 mwaka 2024 majira ya saa 6:00 usiku katika kijiji cha Mwamashiki ambapo inadaiwa kijana huyo alivamiwa wakati amelala na mwanamke anayesadikika kuwa ni mke wa mwanaume anayedaiwa kufanya uvamizi huo.
"Yule Baba alikuja kwa namna ya kugonga mlango akamuita mke wake baada ya kumuita mke wake mwanamke akamwambia yule wa ndani tumekutwa mume wangu amekuja baada ya hapo inasemekana kaka yangu akaamua kufanya maamuzi ya kupanda juu ya dari basi yule mama akafungua mlango yule mwanaume akaingia, baada ya kuingia yule baba akafunga ule mlango akaanza kumponda na mawe kule juu alipoanguka ndipo akaanza kumkatakata mapanga baada ya kumaliza kumkata kutazama vizuri akashangaa eeh kumbe nimemkata mapanga mtu ambaye sio niliyekuwa natarajia kuja kuua siyo mwenyewe akawa amepanda pikipiki haraka akaenda," amesema Dada wa marehemu.
Soma Pia: Njombe: Mume amuua mke wake kwa madai ya kuchepuka kwenye ndoa yao
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Geita SACP Safia Jongo, amekiri kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema mtuhumiwa ni fundi wa kuchana mbao mwenye umri wa miaka 39 na tayari anashikiliwa na jeshi la polisi na wakati wowote atafikishwa mahakamani.
HahajaKwamba mke alikuwa analiwa na wengi? Aliyeuwawa siye aliyekusudiwa
Mauaji ya kupangwa baina ya mume na mke hayo.

Ukihendekeza ngono mwanaume unaisha hivi hivi.Mwingine kafa mwingine jela...Demu yeye anapeta tu saivi anatafuta mwenye ndefu kuliko wao.
Wanaume tuishi nao kwa akili hawa viumbe tutaisha
HahahaMauaji ya kupangwa baina ya mume na mke hayo.
Polisi someni vizuri haya maelezo
Kabaki yule ambae alitakiwa kukatwa mapanga,,,huyo ndo atakaeendeleza gurudumuMwingine kafa mwingine jela...Demu yeye anapeta tu saivi anatafuta mwenye ndefu kuliko wao.
Wanaume tuishi nao kwa akili hawa viumbe tutaisha
Picha yake tafadhali ili tujihami nayeSACP Safia Jongo, amekiri kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema mtuhumiwa ni fundi wa kuchana mbao mwenye umri wa miaka 39 na tayari anashikiliwa na jeshi la polisi na wakati wowote atafikishwa mahakamani.
Apumzike kwa amani.Muhimu alisasambua mbususu
Mke wa mtu alikuwa na michepuko 1+, mume alifahamu kuhusu mchepuko "Y",,, na alitegemea atamfumania Y, kumbe kamfumania "Z"Em fafanua hapo kwenye kuua asiemtarajia habar imekua mkanganyiko
Ya mwisho mwisho.Muhimu alisasambua mbususu