Usimkawize, mweleze Mumewe, tena tafuta ushahidi wa kutosha, ikiwezekana wasiliana nae kwa sms, ili uzitumie kama ushahidi pia apart ya hiyo email, na kama vipi wasiliana naye ukiwa umekaa na Mume wake somewhere, iweke simu loud speaker ili Mumewe asikie mwenyewe kwa masikio yake kuwa kweli ni sauti ya Mkewe, kwenye hayo mazungumzo, hakisha yawe ya kimahaba huku ukimwita sweetie, love or unavyoona wewe, ili kufanikisha huo mtego, sasa hivi usiwe mbishi na mkali, legeza kamba kabisa, kuwa mpole, uwe karibu naye, ili aone umeshamkubalia, na maneno matamu ya kimahaba umpumbaze nayo, hiyo siku utakayokuwa na mshikaji ukiwasiliana na Mkewe, muelekeze huyo dada aje akutane na wewe hapo ulipokaa na Mumewe bila huyo dada kujua, muute labda kwa lunch utakavyoona wewe, atapokaribia kufika au akikucall ili kujua umekaa wapi, mwambie mshikaji akatulie sehemu hata kama ni toilet halafu aje awakute mmekaa pamoja, na kama vipi kabla hajajitokeza toka mafichoni, amcall Mkewe, amuulize yujo wapi muda huo, ili ajue uwongo wa Mkewe, we ndio umshtue jamaa kwa sms, sms uwe umeshaiandaa ili utume tu, au mbeep, akijitokeza, mkiss Mkewe kwenye shavu, au kwenye lips kwa juu juu tu huku jamaa akishuhudia kwa macho yake mwenyewe, hapo the game is over, muache ajieleze kwa Mumewe, atakoma kukutongoza.