Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi niko nje ya nyumbani(TZ) niko ugenini, kazini kwangu kuna dada wa miaka kati ya 24-30 ni mfanyakazi mwenzangu na ni mke wa mfanyakazi mwenzetu, ananitaka kwa nguvu ametumia email ameona kimya sasahivi amehamia kunitafuta kwa simu mimi sipokei wala kujibu ujumbe , naombeni ushauri maana ni kero kwangu, je nimweleze mumewe?
Kaka mke wa mtu ni sumu acha kabisa,
unapaje uchungu unapockia mkeo
anatoka nje ya ndoa? Mwkite sehemu
lakini uwe na shaidi ili umukanye mbele
ya rafiki yako lazima aache kukufuatilia.
na wewe utakuwa una matatizo ya kibaolojia...hapa uje wakati ushamfyatua sio kuleta mangonjera unatupotezeanimeshamweleza sana kwa mdomo kwani sitaki ushahidi wowote wa ujumbe wala kumpigia simu lakini hanielewi
Kwanini sumu Mkuu?
mpe vesi:"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika. Maana wivu ni ghadhabu ya mtu; Wala hatahurumia siku ya kujilipiza kisasi. Hatakubali ukombozi uwao wote; Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi. " (Mithali 6:32-35).