Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,578
- 1,722
Dah watu mnachekesha unamshauri ale mbaliWewe kula na kipofu tu hila mzuie asiingie chumban kwako funga cku mwanae anaweza wafuma kama kumla kamlie mbali huko msizoee hapo home noma
Dah watu mnachekesha unamshauri ale mbaliWewe kula na kipofu tu hila mzuie asiingie chumban kwako funga cku mwanae anaweza wafuma kama kumla kamlie mbali huko msizoee hapo home noma
Hapa Tanzania wanish mpaka basPiga ila uwe makini sana joh! akikushtukizia jamaa na mme wake utapigwa shaba ya kichwa!
Hivi huku Tanzania wageni wanakuwa na limit ya kuishi Tanzania? Kuna wazungu na wachina kibao wanaishi free huku Tanzania kama vile wapo kwao
Ni matatizo mkuu Ila now sina mchezo UO, nimekuaUna nyota ya wake za watu mkuu. Maana kabla hujaondoka bongo ilikula mke wa balozi. Ila next time punguza details kwenye post zako unawa expose sana wahusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Damn! I like your spirit.hata ukinifanyia poa tu sina shida mkuu
Damn! I like your spirit.hata ukinifanyia poa tu sina shida mkuu
Mama ni mbongo kazoea ndoka za kiafrika sema aliolewa na mzungu kibamia na kibabu kutafuta maisha tu sasa kakumbuka ndonga za kibantu.Na hivi utafiti unaonyesha afrika dushee ni ndefu mbona utakoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Namaanisha wewe ni mwandishi Wa global publishers ?
ULITOROKEA WAPI?Mkuu, fuata huu ushauri niliwahi kufanya hivyo nilipokuwa naishi kwa Mtu Mozambique.
Kwa sababu upo kwenye wakati mgumu wa kutafuta maisha huna namna nyingine, tumia sentesi yake ya KULA NA KIPOFU. Lakini kuwa makini sana. Nasisitiza kuwa makini sana. Sababu mimi niliwahi kufanya hivyo, lakini nilishitukiwa, ila nashukuru sana MUNGU niliwahi kutoroka wakati nishafanikisha malengo yangu. Nasisitiza kuwa makini sana.
Oi dre unamjua havoc?Mkuu, fuata huu ushauri niliwahi kufanya hivyo nilipokuwa naishi kwa Mtu Mozambique.
Kwa sababu upo kwenye wakati mgumu wa kutafuta maisha huna namna nyingine, tumia sentesi yake ya KULA NA KIPOFU. Lakini kuwa makini sana. Nasisitiza kuwa makini sana. Sababu mimi niliwahi kufanya hivyo, lakini nilishitukiwa, ila nashukuru sana MUNGU niliwahi kutoroka wakati nishafanikisha malengo yangu. Nasisitiza kuwa makini sana.
Hapo sasaPole sana, huyo mama alaaniwe kwa kweli, lakini Tanzania si kubaya hivyo jamani, kwanini mnaadhirika ugenini namna hiyo?
Kwamba watu wanatunga riwaya sana siku hizMaisha yanaenda kasi mpaka vijana wanageuka watunzi wa kusadikika ila kaza hata shigongo alianzia huko