Ntazingatia uu ushauriOngea na maza upange kiji-room au apartment kutumia hiyo $1000 ili uondoke hapo nyumbani mwanae mdanganye unaenda mji mwingine kuna kazi unafuatilia. Hayo mambo uwe unafanya nae nje na nyumbani kwake. Ukiwa stable unampotezea kidogo kidogo. Usiendelee kufanya nae hapo kwake siku ya siku faza house atarudi usiku atakufanya kitu mbaya.
Ila uku hakuna room za kupanga ni bed spaces ambazo mnalala wanne room ni dollars 800 kwa mwezOngea na maza upange kiji-room au apartment kutumia hiyo $1000 ili uondoke hapo nyumbani mwanae mdanganye unaenda mji mwingine kuna kazi unafuatilia. Hayo mambo uwe unafanya nae nje na nyumbani kwake. Ukiwa stable unampotezea kidogo kidogo. Usiendelee kufanya nae hapo kwake siku ya siku faza house atarudi usiku atakufanya kitu mbaya.
YalaaaaahhhhZali na mentali
Mkuu Pole kwa maswaibu na Mungu akusaidie ! Ukikaa sawa nistue mkuu bongo pagumuKweli yataisha haya
Kamilisha tustuane aisee! Hata kufagia utakapopataNakaribia kukamilisha dili kaka