Huyu mshikaji anaenda kazini na mama ananitext kuwa mlale mapema anajua nikikataa inakula kwangu, Jana nimejichelewesha sebuleni kanitext eti Nina mazungumzo na we we roomAnza mazoea ya kukaa na huyo. Mshkaj ikifka usiku mnapga story tu
Google MkuuKY ndo nini
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Niambie bas niinunue
Ha ha ha ha haaaaa!!! Mkuu, Mke anauma sana, ni ngumu kueleZea maumivu ya mke, uwe makini sana, vinginevyo atakutokea puaniNiambie bas niinunue
Sijui Wewe Ni MTU wa kutoka wapi kila kitu unageuza Ni uongo....Kama VP kaa kimyaa sio lazima ucomment..Yaani Watu kama ninyi siwapendiii I hate youuuu..Sasa andika ukweli unaoujua..Tatizo la watu kutotoka nje ya nchi unaishia MBURATI tu..utayajuaje mambo wanayokutana nayo wenzake..Eti Ni uongo...Andika Wewe ukweli..Sijui lengo lako huyu Kijana asipate ushauri..Yaani Wewe Ni mzandiki tu..kafie mbele hukooMaisha yanaenda kasi mpaka vijana wanageuka watunzi wa kusadikika ila kaza hata shigongo alianzia huko
Yes kinga tulitumia maana alikuwa nazo ,ziko special ni tofaut na nilizozoeaUnatia huruma..ila Sasa ushauri toka kwa Mimi Dada ako Ni ivi..jitahidi sana kuwa Na zana za kazi kwa kipindi hiki cha mpito Yaani (condom)situation yako Ni kama ya MTU anayebakwa (I'm sorry to say this) kwa sababu huyo Bedui jimama zimaa linatumia unyonge wako kukubaka...but kwa kuwa anashughulikia Work permit vumilia Na ukipata iyo Kazi kwa uhakika mkimbie..ingekuwa bado hujatembea naye bado ushauri ingekuwa mwingine..pia Pima HIV..VP mlitumia Kinga..(Maana huyo Maza Inaonekana Ni mwingi wa Habari)nimeumia just like my own young brother. (Utatupa mrejesho)
Hawana mazoea ya kuja jamii forums wala hawaijuiMbona huyo mama na mwanae watakujua ni wewe...umeongea sana kiundani habari yako...hata ndugu zao watajua ni akina nani.
Anza kukimbia ulipo urudi TZ au uhamie kwingine naona unanusa jela karibuni kwa kusetiwa jambo.
Na mpaka hapa nimeficha mambo mengi,Mbona huyo mama na mwanae watakujua ni wewe...umeongea sana kiundani habari yako...hata ndugu zao watajua ni akina nani.
Anza kukimbia ulipo urudi TZ au uhamie kwingine naona unanusa jela karibuni kwa kusetiwa jambo.