Mke wa Mzungu ananitaka, nifanye nini? (True Story)

Kwahiyo hii post yako umeitolea hapa tz au ukiwa singapore. Nataka nikuunganishe na ndugu yangu.
 
heee we , kashika hadi dushe , bado hujui anataka nini??, we una dalili za kuwa mboga.
 
Pole sana, huyo mama alaaniwe kwa kweli, lakini Tanzania si kubaya hivyo jamani, kwanini mnaadhirika ugenini namna hiyo?
Mama ana ugwadu umejaa mpaka unachuruzika huko kwenye ashakum,muache ajitibu na kijana huyo.
 
Kosa lako ni hili. You got too detailed kosa ambalo nami niliwahi kulifanya.

Nakushauri uwasiliane na mods wakusaidie ku edit hii thread. Usijipe matumaini eti huku hawafiki wakati wana ndugu.

Be smart and act immediately
 
Anza mazoea ya kukaa na huyo. Mshkaj ikifka usiku mnapga story tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…