Mke wa nabii azimia na kukimbizwa kwa mganga

2025 kaleta waganga wengi mno wa pande nne za dunia, katoa kila aina ya Kafara za wanyama hadi binadamu maelfu kwa maelfu, kamtoa kafara hadi mumewe, je majini yake hayajatosheka na hizo kafara?
 
Asirudi huku hatumtaki
 
Wamesita kumfikisha Mzena??
 
Kwa umuhimu Gani sasa. Iwe kweli au sio kweli, watajua wenyewe
 
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI una habari huko mama Eda kafanya uteuzi?
Sijui uapisho lini
 
Kwa taarifa nilizonazo ni HH wa Zambia, ana kansa alipoanguka alipelekwa kwa mganga ila kwa sahivi nasikia kapelekwa Dubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…